Hii teknolojia ya “ceremic liquid” ya screen protector kwenye simu kitalaamu ni salama kweli?

pangakali 2

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
209
250
Wakuu. Kuna hii huduma inayotangazwa sana na Wachina au wadau wake kuhusu huduma ya kuweka liquid protector katika sim janja. Kuwa baada ya kuweka hio liquid sim yako haitovunjika/ kupata mkwaruzo kwenye kioo cha sim.
Mwenye uzoefu/ aliyekwisha pata huduma hii naomba ushauri kabla ya kuweka hio liquid.
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUTATABHETAKULE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
3,060
2,000
Kwa jinsi inavyoganda kwenye screen ya simu, ikianguka na kupasuka, jiandae kununua screen mpya kwani inakuwa halifai kabisa.
 
Issuna

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,132
2,000
Liquid protector ni protector nzuri sana sina haja ya kuzielezea ubora wake kwa ambao mmeweka hamna hasara yoyote kama wewe uliyeweka hiyo protector umeweka kwa mtu anayetumia mashine ya kiwango,nasema mashine kiwango kwani liquid protector ina mashine za aina tatu

1.Mashine ya kwanza inauzwa 1.5M,
2.Mashine ya pili inauzwa 600k
,
3.Mashine ya tatu inauzwa 350,000.

Utendaji kazi wa hizi mashine ni mmoja ila ubora wa liquid ni tofauti sana,mashine no 1 liquid yake ina protect kweli na ndio maana halisi ya protection inapatikana kwenye mashine no.1,ukiweka liquid ya mashine no.1 simu yako haitovunjika milele na milele,haitoingia mkwaruzo hata mmoja,sifa zote zipo hapa. BEI ya kuweka 30,000k (kama umeweka liquid kwa bei chini ya hii tambua haujatumia hii mashine)
mfano wa ubora wa mashine hiii angalia hii video
Mashine namba mbili liquid yake haina nguvu ya kukuta mashine no.1 japo nayo ina protect kioo cha simu yako,bei yakuweka ni 20,000-15000,

Hivii ndivyo inavyoonekana mfano wa picha yake ni hii hapa

IMG_20200118_211415.jpg
IMG_20200118_211427.jpgtukija mashine namba 3 hii ndiyo ambayo imezagaa mitaani na kila kona unaikuta,hii liquid yake inalinda kioo kisipate mkwaruzo TU usije ukamuiga kuifanyia simu yako mtu aliyeweka liquid kwa mashine no.1 na no.2 utalia kilio cha mbwa koko maana simu itavunjiika vizuri tu,liquid ya mashine hiii hukinga simu na kuiweka mbali na mikwaruzo tu,bei ya kuweka hii liquid n 5000 ukienda k.koo utazikuta zimezagaa wape 5000 tu watakuwekea.

USHAURI:

hamna muuzaji atakwambia mashine yake ni ipi,(ni siri yake) kwa hiyo kwasababu hamzijui nawashauri simu zenu mkishaweka liquid,malizieni na zile 3D protector kwa kujiridhisha,namaaanisha muweke protector mbili.
ila kama una uhakika hiyo liquid ni ya mashine no.1 huna haja ya protector nyingine juu,umeshamaliza hata itokee simu imedondoka toka juu ya kabati hadi chini kioo kikatua juuu ya stuli hofu na shaka ondoa.
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
6,438
2,000
Take care ya simu yako,hutaitaji huo upuuzi,kwa jinsi navyoijali simu yangu sio rahisi kupata dhoruba hivyo sihitaji huo upuuzi,mfano mtu unawekaje simu mfuko wa nyuma,unachanganyaje simu na mafunguo mfukoni
 
son_of_masia

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
354
250
Plastic start to scratch at level 3,glass start to scratch at level 6 with deeper grooves at level 7.saphire start scratch at level 8 with deeper grooves at level 9.hahahaha JRE.Am so impressed with technlogy but i will stay with my samsung s8.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuttyfruity

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
2,423
2,000

smarphoneseller

Senior Member
Apr 27, 2019
150
250
hio technolojia ina miaka kama mitano saiv wabongo ndio wamestuka saiv

ilishakataliwa na watu haisaidii ktu thats why haijashake soko la normal screen protectors

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Gunst

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
2,447
2,000
Liquid protector ni protector nzuri sana sina haja ya kuzielezea ubora wake kwa ambao mmeweka hamna hasara yoyote kama wewe uliyeweka hiyo protector umeweka kwa mtu anayetumia mashine ya kiwango,nasema mashine kiwango kwani liquid protector ina mashine za aina tatu

1.Mashine ya kwanza inauzwa 1.5M,
2.Mashine ya pili inauzwa 600k
,
3.Mashine ya tatu inauzwa 350,000.

Utendaji kazi wa hizi mashine ni mmoja ila ubora wa liquid ni tofauti sana,mashine no 1 liquid yake ina protect kweli na ndio maana halisi ya protection inapatikana kwenye mashine no.1,ukiweka liquid ya mashine no.1 simu yako haitovunjika milele na milele,haitoingia mkwaruzo hata mmoja,sifa zote zipo hapa. BEI ya kuweka 30,000k (kama umeweka liquid kwa bei chini ya hii tambua haujatumia hii mashine)
mfano wa ubora wa mashine hiii angalia hii video
Mashine namba mbili liquid yake haina nguvu ya kukuta mashine no.1 japo nayo ina protect kioo cha simu yako,bei yakuweka ni 20,000-15000,

Hivii ndivyo inavyoonekana mfano wa picha yake ni hii hapa

View attachment 1328441 View attachment 1328442

tukija mashine namba 3 hii ndiyo ambayo imezagaa mitaani na kila kona unaikuta,hii liquid yake inalinda kioo kisipate mkwaruzo TU usije ukamuiga kuifanyia simu yako mtu aliyeweka liquid kwa mashine no.1 na no.2 utalia kilio cha mbwa koko maana simu itavunjiika vizuri tu,liquid ya mashine hiii hukinga simu na kuiweka mbali na mikwaruzo tu,bei ya kuweka hii liquid n 5000 ukienda k.koo utazikuta zimezagaa wape 5000 tu watakuwekea.

USHAURI:

hamna muuzaji atakwambia mashine yake ni ipi,(ni siri yake) kwa hiyo kwasababu hamzijui nawashauri simu zenu mkishaweka liquid,malizieni na zile 3D protector kwa kujiridhisha,namaaanisha muweke protector mbili.
ila kama una uhakika hiyo liquid ni ya mashine no.1 huna haja ya protector nyingine juu,umeshamaliza hata itokee simu imedondoka toka juu ya kabati hadi chini kioo kikatua juuu ya stuli hofu na shaka ondoa.
Huu ufafanuzi mzuri sana.

Mkuu 3D protector zipoje? Maana tumezoea zile za 5000/= za wamachinga zinazovimba.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom