Hii team vipi?

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
11,495
24,212
Jamani wanakwetu, hii team yetu ya nyumbani vipi??

Kipa, Viungo, Mabeki, washambuliaji kila mtu anaonyesha uwezo binafsi, hawachezi kiteam kabisa, kocha naye yuko bize na mashabiki aka anacheza na jukwaa.. Ngoja tuone ndio kwanza 15minutes labda mambo yatabadirika..au sisi ndio hatuielewi hii team yetu..

Kwaheri 2016 karibu 2017....
 
Kocha ana kiburi anataka kila mchezaji afanye analotaka...amekataa kukosolewa na wachambuzi wa masuala ya mpira na anawaagiza walinzi wa uanja kukamata mtu yeyote anayejitokeza na kuonyesha challenge. Yeye anataka hata goal likiingia la mkono mkae kimya hàkuna kubisha bali kila mtu anatakiwa ashangilie tu. Timu ya kusadikika hii
 
naona hata viungo bado hawajaelewa kabisa mfumo wa team yetu ...unaweza kusema ni 4-4-2 hapana ni 3-5-2 unashangaa ghafla 4-3-2-1 duh inachanganya...
 
Tatzo hmna refa yaan unafanyiwa faulo na wachezaji wake watu kmyaa refa hawez kupiga kipenga sjui kashapigiwa smu hasa ile faulo ya mechi ya kule Arusha duh
 
Inachanganya sana hii mifumo, team inakabia macho, washambuliaji mpira kwao haukai, Mabeki mpira hawaweki chini wanabutua tu butuuuu, kocha vipi?? hatukuelewi ujuwe... Mpira magori namaanisha score board sio chenga twawala...
 
Ukiona team huielewi inavyocheza rudi kwenu, hii team bado inausoma mchezo
 
Ukiona team huielewi inavyocheza rudi kwenu, hii team bado inausoma mchezo

Unaingiza team kwenye mashindano unausoma mchezo?? ndio maana kukawa na videos nk.. I mean video za team pinzani ili ukiingiza team ni mwendo wa kutafuta ubingwa tu.. kwahiyo tulinde goli 90 minutes tunasoma adui??
 
Back
Top Bottom