Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

Aisee, nmeona walibya wanavyouawa na kuzikwa kwa pamoja inauma sana jamani.

Yani pale Libya sasa hivi hata sungusungu tu wanatawala na kufanya wanalotaka kwa raia.

Hakika sasa democrasi na uhuru waliotaka walibya sasa wanafaidi sana!
Hata Uganda baada ya kumng'oa Idd Amin hali ilikua mbaya zaidi ya Libya.

Ssa unataka kusema kumtoa Amin yalikua makosa??

DRC toka wamemtoa Mobutu walifaidika nini zaidi ya waasi kutapakaa? Ina maana walikosea kumtoa Mobutu.

Kosa lilikuwa Gadaffi kupambana na wananchi.... Mbona Misri, Tunisia,Morocco hawateseki ilihali waliandamana na kung'oa madikteta?
 
Hata wao walikua kama sisi
Alafu naskia harakati zilizowafikisha hapo zilianzia Mitandaoni
Hvi Tanzania tulipata njaa ya kiaso gani baada ya vita na Uganda? Je Nyerere alikosea kupigana ile vita??

Hvi waTZ reasoning zetu zina shida gani, huko Misri kuna magofu?? Shida hapo ni mtawala kuingiza majeshi mtaani badala ya kupisha kma wenzie.
 
Aisee, nmeona walibya wanavyouawa na kuzikwa kwa pamoja inauma sana jamani.

Yani pale Libya sasa hivi hata sungusungu tu wanatawala na kufanya wanalotaka kwa raia.

Hakika sasa democrasi na uhuru waliotaka walibya sasa wanafaidi sana!
Wanafaidi walichokipanda na kupata walichokihitaji,walishindwa kutumia akili zao kufikiri, wakasaidiwa kufikiri.
Tuwaache wale walichokipika, hakuna wakuwapa msaada tena,tuwaache waangamie itakuja kuwa kumbukumbu kwa vizazi vyao vyote na somo kwa waafrika wasiokuwa na akili.
 
Moja mistake ambayo Obama alikiri yeye mwenyewe kuifanya ni kuivamia na kuipiga Libya.Damage yake ni kubwa sana,ambayo hata wao wenye hawawezi repair.

Nchi imekuwa kama kijiji cha kambale mkubwa ndefu,mtoto ndevu.CIA wenyewe walibaki pale ili wajaribu kutuliza hali,kilichowakuta ni balozi wao wenyewe kuuliwa Benghazi na wao wenyewe chupuchupu kufyekwa wote.

Baniani mbaya kiatu chake dawa,Ghadafi ile nchi aliiwezea,ila kelele zile za magharibi "dikteta dikteta mixer kutunga uwongo",leo Libya wanalia wao.ISIS Libya ni chaka lao salama kwa kujificha na ndio maana kuifuta ISIS shughuli,vilevile imekuwa chaka la watu wanaofanya biashara haramu ya kusafirisha watu.

Sio hao hata IRAQ wanacheza ngoma moja na Libya,kuna mzee mmoja pamoja ya ndugu zake kuuliwa na Sadam na yeye mwenyewe kuwekwa ndani,ila sasa hivi anadai bora Sadam kuliko hali iliyo kuwepo sasa hivi,kwani ni mbaya sana mara 1000 na ile ya Sadam (anaongea huko machozi yana mtoka).Sasa anatamani hata akaijenge ile Sanam ya Sadam iliyo angushwa kwa mikono yake.

Cha ajabu waliofanya mauaji haya (US,UK,France) wanadunda,ICC imewagusa kidogo US wamewawekea vikwazo,UK naye kawatisha,alafu wao ndio wanajifanya watu wa kutetea haki,wakati wanashindwa kuwapa haki watu walio waua Libya na Iraq,wao wenyewe wanaamini ni "Colateral demage".

Sometimes unatakiwa kuchanganya akili ya kuambiwa na kile unacho kifahamu vyema,ndipo ufanye maamuzi la sivyo majuto yake ni makubwa.Ukifanya maamuzi kwa hizi oya oya za mitandaoni na vyombo vya habari vya magharibi mnajikuta mnapoteza amani yenu.

RIP Ghadafi &Sadam.
 
Tulio wengi tulisimuliwa maisha ya wananchi wa Libya ila uhalisia wa namna gani walikuwa wanaishi kipindi cha Gadaffi wanajua wenyewe na Kama kuna watu humu Jr walifika Libya kipindi cha Gadaffi basi watuambie maisha yalikuwaje uko sina hakika kama walibya ni wajinga kiasi kwamba walishindwa kutumia njia nyingine za kumtoa Gadaffi.
 
Moja mistake ambayo Obama alikiri yeye mwenyewe kuifanya ni kuivamia na kuipiga Libya.Damage yake ni kubwa sana,ambayo hata wao wenye hawawezi repair.

Nchi imekuwa kama kijiji cha kambale mkubwa ndefu,mtoto ndevu.CIA wenyewe walibaki pale ili wajaribu kutuliza hali,kilichowakuta ni balozi wao wenyewe kuuliwa Benghazi na wao wenyewe chupuchupu kuvyekwa wote.

Baniani mbaya kiatu chake dawa,Ghadafi ile nchi aliiwezea,ila kelele zile za magharibi "dikteta dikteta mixer kutunga uwongo",leo Libya wanalia wao.ISIS Libya ni chaka lao salama kwa kujificha na ndio maana kuifuta ISIS shughuli,vilevile imekuwa chaka la watu wanaofanya biashara haramu ya kusafirisha watu.

Sio hao hata IRAQ wanacheza ngoma moja na Libya,kuna mzee mmoja pamoja ya ndugu zake kuuliwa na Sadam na yeye mwenyewe kuwekwa ndani,ila sasa hivi anadai bora Sadam kuliko hali iliyo kuwepo sasa hivi,kwani ni mbaya sana mara 1000 na ile ya Sadam (anaongea huko machozi yana mtoka).Sasa anatamani hata akaijenge ile Sanam ya Sadam iliyo angushwa kwa mikono yake.

Cha ajabu waliofanya mauaji haya (US,UK,France) wanadunda,ICC imewagusa kidogo US wamewawekea vikwazo,UK naye kawatisha,alafu wao ndio wanajifanya watu wa kutetea haki,wakati wanashindwa kuwapa haki watu walio waua Libya na Iraq,wao wenyewe wanaamini ni "Colateral demage".

Sometimes unatakiwa kuchanganya akili ya kuambiwa na kile unacho kifahamu vyema,ndipo ufanye maamuzi la sivyo majuto yake ni makubwa.Ukifanya maamuzi kwa hizi oya oya za mitandaoni na vyombo vya habari vya magharibi mnajikuta mnapoteza amani yenu.

RIP Ghadafi &Sadam.
Mkuu sipingana na wewe kwa baadhi ya vitu je maisha ya walibya kipindi cha Gadaffi yalikuwaje ? Maana tulio wengi ni story tu tulikuwa tunasikia kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Back
Top Bottom