Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

Kuonesha hawana hiana, kila kidume kingoje zamu yake baada ya huyu aliyefanikiwa yaweza kuwa weye
 
Mie nasema kwa sauti kubwa: ni upuuzi, na sio kuonesha tu matumbo, mie huwa nakosa raha ninapoona mwanadada anakwambia, "Jumatano nitapata baby girl"
Kwa maana ameshakwenda kwenye ultrasound ameona ana mtoto wa jinsi ipi, halafu ana appointment ya kwenda kufanyiwa upasuaji tena hana tatizo lolote lakini hataki kuzaa kwa kukema/kusukuma
mfyuuuuuuuuuuuu
 
Utandawazi, kuiga tamaduni za nje... Zamani hayo mambo hayakushika kasi kama sasa.. Ulimbukeni ndio unawafanya hivyo...wanaona fahari na sifa
Upande mmoja ni sifa kwa mwanamke kuwa mja mzito - hao wanawake wanaona sifa kuonesha matumbo yao (hasa kama ametafuta ujauzito siku nyingi). Sifa hiyo imefikia kuyafunua matumbo yao.

Upande mwingine wanawake wanaona aibu kuonekana ni wajawazito (kwamba nao hufanya ngono - kitendo cha siri), hivyo hawa huvaa gauni pana (maternity).
 
kwani akiwa amevaa mavazi ya staha nini kitaharibika...mimba nayo ni matangazo siku hizi mitandaoni?

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Kumeibuka wimbi la wadada wajawazito kupiga picha huku wameshikilia matumbo yao na kisha kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii.

4907d52c8219aff40382b8fb29993640.jpg

Huwa malengo yake hasa ni yapi?
Huenda nimepitwa na wakati, napaswa kuji-update.

Mapendo,
TANMO.
MKUU HAPA DUNIANI ,KUNA WANAWAKE WA AINA MBILI --

1) Kuna wanawake walizaliwa Kwa ajili ya kua Wake za watu ( they deserve it ).

2) Kuna wanawake wamezaliwa ili kuongeza idadi ya wanawake Duniani .

Mwisho wa habari.
 
Mwake,wa hvo anatakaa
Kuwaaminisha hata yy anakizaz

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom