Hii tabia ya wamiliki wa mabasi yanayosafiri safari ndefu

Kuna siku pale naenda mbeya tumishkaki tukavu kamoja 2000.vichips kiduchu 2000
 
Wanafidia gharama za kukaa huko maporini....nahisi gharama za uendeshaji ni kubwa na wanategemea mabasi tuu labda magari madogo ya wasafiri.
 
Muhimu kwangu kwenye hizo hoteli za mabasi makubwa ni huduma nzuri za vyoo na usalama wa vitu ndani ya basi. Ziko basi zinazosimama kwenye sehemu za bei ya chini (jiandae kusafiri na kuku,mbuzi ndani ya gari) ,nyingi ziko katikati ya miji,lakini hakuna usafi na vibaka wengi. Wanaosafiri mara kwa mara wanafahamu.
Nunua biskuti/keki,soda/maji/juisi.
 
Wanafidia gharama za kukaa huko maporini....nahisi gharama za uendeshaji ni kubwa na wanategemea mabasi tuu labda magari madogo ya wasafiri.
Na haja mnazoenda kuzifanya za kubwa na ndogo mnazilipia kwa dizaini iyo,
 
Back
Top Bottom