Hii tabia ya wamiliki wa mabasi yanayosafiri safari ndefu

Wabalance tu, au wawe wanatuacha ata mjini ili watakaokula vya gharama wanunue na wa bei chee pia
Mkuu sio kila sehemu basi linaruhusiwa kusimama na abiria washuke. Ndio maana huwa yanachaguliwa maeneo machache ambayo yaana karibu huduma zote muhimu kwa abiria mfano chakula, vinywaji, na vyoo. Unaweza kuta vyakula vipo ila vyoo hakuna.
 
Mkuu hapo mambo ni mawili tu either tafuta hela kwa juhudi na maarifa zaidi ili uweze kula hivyo vyakula vya bei ya juu or beba chakula chako wakati wa kusafiri ili uweze kuepukana na hiyo kero yako ila usipangie watu na pesa zao namna ya kuzitumia,kama ww huna hela hiyo ni juu yako wacha kuisumbua serikali kuingilia mambo yasiyo na tija ina majukum makubwa ya kujenga nchi....

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Sisi hatuna shida na sehem ila bei ndugu. Watanzania wengi wanaumizwa na bei zao
Mkuu sio kila sehemu basi linaruhusiwa kusimama na abiria washuke. Ndio maana huwa yanachaguliwa maeneo machache ambayo yaana karibu huduma zote muhimu kwa abiria mfano chakula, vinywaji, na vyoo. Unaweza kuta vyakula vipo ila vyoo hakuna.
 
Mkuu hapo mambo ni mawili tu either tafuta hela kwa juhudi na maarifa zaidi ili uweze kula hivyo vyakula vya bei ya juu or beba chakula chako wakati wa kusafiri ili uweze kuepukana na hiyo kero yako ila usipangie watu na pesa zao namna ya kuzitumia,kama ww huna hela hiyo ni juu yako wacha kuisumbua serikali kuingilia mambo yasiyo na tija ina majukum makubwa ya kujenga nchi....

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
Hapa shida sio kuisumbua serikali, mambo mengine ya kijamii yanaihusu serikali na serikali ina vitengo vya kufatilia vitu kama ivo
 
Unaona ubahili kula cha kula cha elfu 5000 wkt unahonga zaidi ya elfu 15 kwa bao 2 tako 6 tu.baharia unaferi
 
Unaanzaje kula safarini, safari yenyewe haizidi masaa hata 14?
Mimi ni maji tu, na sina story all the way.... Ni JF tu nasoma.
 
Halafu unaambiwa kuna Chama Cha Kutetea Abiria.
Wao wanaishia Ubungo Terminal tu tena utawaona mwezi December.!!
 
DAWA NI KUSAFIRI NA CHAKULA.BIBI YANGU HATAKI MASIHARA YEYE AKISAFIRI SAFARI NDEFU ANATENGENEZA CHAPATI ZAKE,ANAKAANGA NYAMA NUSU NA CHAI ANAWEKA KWENYE CHUPA.
YEYE HANA HABARI NA HAYO MAANDAZI YA BUKU
Kwa mtazamo wangu huyu bibi yy anachojali ni usafi wa chakula na uslama wa afya yake awapo njian.Walio sip pesa kama mtoa mada anavyosema maana Maandalizi ya hayo yoote sijui nyama nusu na chapat au nn sijui ni zaid ya 7000/=.

LAKIN ALL IN ALL BIBI YAKO NI NOOMA MAANA KAMA ANAMALIZA NYAMA NUSU PEKE YAKE BASI HUYO NI BALAA
 
Tatizo sio bei
Tatizo vyakula havina ubora,sio vizuri kwahiyo haina maana kutoa pesa nyingi kwa vyakula vibaya
 
Je kwa nini wanapenda kupeleka abiria kwenye hoteli za gharama kubwa sana na ambazo zipo porini kusipopatikana vyakula vya bei nafuu?
Juzi nilisafiri kutoka Morogoro kwenda shinyanga kwa usafiri wa basi ya Abood... baada ya kufika wilaya ya Bahi Dodoma, walishusha abiria kwa ajili ya chakula cha mchana mda wa saa tano na robo ivi.
Kutokana na safari yangu ilikuwa ya dharura na sikuwa na pesa nilipanga njiani nitumie pesa isiyozidi 3000/=
Tuliposhuka pale nilienda kuulizia wali nikaambiwa sahani ni 5000/=
Nikaona niachane nao nikaenda kununua andazi mbili nikatoa 2000 nikijua haizidi buku kwa zote mbili. Nikashangaa naambiwa andazi moja ni 1000 af bayaaa.
Hii tabia sio ya abood pekee ni mabasi karibia yote ya masafa marefu.
Je ni sahihi? Mana niliangalia abiria wengi hawakula na kati ya basi zima hawafiki 10 waliokula pale. Na abiria wanaopanda mabasi haya wengi ni wa kipato cha kawaida. Kwa upande wangu huu ni unyanyasaji wa abiria na wizi wa lazima
Ukipenda kula wali nyama safarini kuna siku utafungwa pampasi.
 
Back
Top Bottom