Mkuu sio kila sehemu basi linaruhusiwa kusimama na abiria washuke. Ndio maana huwa yanachaguliwa maeneo machache ambayo yaana karibu huduma zote muhimu kwa abiria mfano chakula, vinywaji, na vyoo. Unaweza kuta vyakula vipo ila vyoo hakuna.Wabalance tu, au wawe wanatuacha ata mjini ili watakaokula vya gharama wanunue na wa bei chee pia
Mkuu sio kila sehemu basi linaruhusiwa kusimama na abiria washuke. Ndio maana huwa yanachaguliwa maeneo machache ambayo yaana karibu huduma zote muhimu kwa abiria mfano chakula, vinywaji, na vyoo. Unaweza kuta vyakula vipo ila vyoo hakuna.
Hapa shida sio kuisumbua serikali, mambo mengine ya kijamii yanaihusu serikali na serikali ina vitengo vya kufatilia vitu kama ivoMkuu hapo mambo ni mawili tu either tafuta hela kwa juhudi na maarifa zaidi ili uweze kula hivyo vyakula vya bei ya juu or beba chakula chako wakati wa kusafiri ili uweze kuepukana na hiyo kero yako ila usipangie watu na pesa zao namna ya kuzitumia,kama ww huna hela hiyo ni juu yako wacha kuisumbua serikali kuingilia mambo yasiyo na tija ina majukum makubwa ya kujenga nchi....
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
Vyakula vyenyewe pia ni vibayaaa havina hadhi ya izo beiUnaona ubahili kula cha kula cha elfu 5000 wkt unahonga zaidi ya elfu 15 kwa bao 2 tako 6 tu.baharia unaferi
kweli mkuu kulakula sana ndio maana watu hurudisha chenchiNjaa ya siku moja haiuwi
Tafuna karanga & bablish
Kabla ya kutumia ni lazima kuzitafuta.Halaf il zidum ni muhi kuzitunza na kuzitumiankwa ustaarabMkuu tumia hela ikuzoee
Kwa mtazamo wangu huyu bibi yy anachojali ni usafi wa chakula na uslama wa afya yake awapo njian.Walio sip pesa kama mtoa mada anavyosema maana Maandalizi ya hayo yoote sijui nyama nusu na chapat au nn sijui ni zaid ya 7000/=.DAWA NI KUSAFIRI NA CHAKULA.BIBI YANGU HATAKI MASIHARA YEYE AKISAFIRI SAFARI NDEFU ANATENGENEZA CHAPATI ZAKE,ANAKAANGA NYAMA NUSU NA CHAI ANAWEKA KWENYE CHUPA.
YEYE HANA HABARI NA HAYO MAANDAZI YA BUKU
The thing is, hawa wanaowapeleka huko wao wana kamisheni wanapata, plus kula bure. Hii tabia inakera sanakipindi cha nyuma ruti ya mbeya- dar kulikuwa na hotel pale ilula gari zote zinapaki pale wakati wa kula vyakula vilikuwa vingi na bei ya kawaida, ila siku hizi kila kampuni na hotel yake tena chakula bei juu.
Ukipenda kula wali nyama safarini kuna siku utafungwa pampasi.Je kwa nini wanapenda kupeleka abiria kwenye hoteli za gharama kubwa sana na ambazo zipo porini kusipopatikana vyakula vya bei nafuu?
Juzi nilisafiri kutoka Morogoro kwenda shinyanga kwa usafiri wa basi ya Abood... baada ya kufika wilaya ya Bahi Dodoma, walishusha abiria kwa ajili ya chakula cha mchana mda wa saa tano na robo ivi.
Kutokana na safari yangu ilikuwa ya dharura na sikuwa na pesa nilipanga njiani nitumie pesa isiyozidi 3000/=
Tuliposhuka pale nilienda kuulizia wali nikaambiwa sahani ni 5000/=
Nikaona niachane nao nikaenda kununua andazi mbili nikatoa 2000 nikijua haizidi buku kwa zote mbili. Nikashangaa naambiwa andazi moja ni 1000 af bayaaa.
Hii tabia sio ya abood pekee ni mabasi karibia yote ya masafa marefu.
Je ni sahihi? Mana niliangalia abiria wengi hawakula na kati ya basi zima hawafiki 10 waliokula pale. Na abiria wanaopanda mabasi haya wengi ni wa kipato cha kawaida. Kwa upande wangu huu ni unyanyasaji wa abiria na wizi wa lazima
Wee naye! Njia ya Arusha Moshi nayo unakula! Mchwa au nzige?Kwa njia ya arusha moshi ndiyo balaa kabisa chakula eti 7000 wizi mtupu.Hicho hicho hotel ya kawaida 2500