Hii tabia ya wafanyakazi wa benki kupark magari yenu wakati wateja tunakosa sehemu sababu ni nini!

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Benki zetu rekebisheni ili yani unakuta benki imejaa magari unaweza sema ni wateja kumbe ni wafanyakazi wenu hapo benki.

Ni sehemu chache benki zilizokuwa na eneo maalumu kwa ajili ya wafanyakazi.

Jaribuni kuwatengea maeneo hata kwa kukodi ili wateja waweze kufikisha magari yao kama wanapesa nyingi.

IMG_0620.jpg
 
CRDB Arusha branch na Njiro branch hawana reserve parking, ukipack ni at your own risk na pia gari itapigwa picha upewe deni la parking.

Yan unaenda kwao kupata huduma lkn gari yako utajua unapakije
 
CRDB Arusha branch na Njiro branch hawana reserve parking,, ukipack ni at your own risk na pia gari itapigwa picha upewe deni la parking.

Yan unaenda kwao kupata huduma lkn gari yako utajua unapakije
Sasa si ufungue akaunti kwenye benki zenye parking.
 
Kosa ni La management.

Mfanyakazi Unataka akapaki Wapi ili akuhudumie Wewe?

Siku Moja hospitali nilimgomea jamaa Mmoja nikamkomalia nipaki Mimi, Yeye akakosa parking hapo.!

EE bwana ee baada Ya foleni Yangu kufika nikaingia Kwa Daktari namkuta jamaa niliyemkomalia parking.. Alooooo..! palikuwa patamu hapo. Ila jamaa Alikuwa poa,akanihudumia fresh tu.
 
Aisee angekuwa wa visasi angekuacha hivyo hivyo na tumbo lako la kuharisha
 
Kosa ni La management.

Mfanyakazi Unataka akapaki Wapi ili akuhudumie Wewe?

Siku Moja hospitali nilimgomea jamaa Mmoja nikamkomalia nipaki Mimi, Yeye akakosa parking hapo.!

EE bwana ee baada Ya foleni Yangu kufika nikaingia Kwa Daktari namkuta jamaa niliyemkomalia parking.. Alooooo..! palikuwa patamu hapo. Ila jamaa Alikuwa poa,akanihudumia fresh tu.
Vp ulikuwa unataka kujificha kwenye chup yako uliyovaa. Kiburi si maungwana
 
Back
Top Bottom