demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
- Thread starter
- #41
Jamaa ana matatizo sana huyu.
Hawa ni baadhi waliocheza ulaya.
1. Bobani
2.Okwi
3.Samatta
4.Kapombe. Hao ni baadhi ninao wakumbuka.kuna yule Mnaigeria aliyecheza simba kisha kapaa ulaya. Simba haijatoa nje tena wachezaji kwasababu ya kutocheza mechi za kimataifa.Naiona kesho ya hawa ulaya.
1.zimbwe Jr
2. Mkude
3.Ndemla kama watajituma kwenye mechi za kimataifa.
Ukinitajia hao nitakutajia
1. NONDA
2. Nizar
3. Kpah Sherman
Huyo Kapombe hajawahi kuichezea Caen hata game 1 ya ushindani. Alikuwa trial muda wote.
1. Huyo Zimbwe Jr ata kuitwa kwa ajili ya trial imeahindikana ....anangoja azeeke kama Mgosi wampeleke AS VITA ya Congo.
2. Mkude ndio wale wale ....umeenda trial sauz na kurudi Bongo.
3. Hahaha eti Ndemla..sikumbuki ni lini kaenda hata trial....nafasi yenyewe hana kikosi cha kwanza, tena anaingizwa pale MTU wa kupiga mashuti nje ya 18 yard anapotakiwa.
Kakwambia nani wazungu wanahitaji mashuti nje ya 18 yard..