Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

Hivi serikali haina mpango wa kutulipa mishahara akina jobless .
Wanamua wananchi wao tunaishi vipi?
 
Usawa huu mko ofisi Moja, kada Moja ,
Ngazi ya mshahara moja,
Mwenzako anapata mshahara leo ,
Wewe uje kupata kesho sio tabia nzuri hata kidogo..

Enzi zile za pontio pilato pamoja na ubabe wake lakini mshahara ulikuwa unatoka siku Moja,

Labda ilitofautiana dakika kadhaa lakini ndani ya masaa 24,

Leo hii mshahara wengine wamepata toka Saa 2 asubuh,

Wengine tunasubiri awamu nyingine...

Hii taife
Mkuu vumilia januari inakuagandefu

Screenshot_2021-12-21-16-30-28-24.jpg
 
Ni kweli watu wa NMB toka asubuhi mzigo ulisoma ila sisi wa NBC mzigo umeingia jioni hii kwenye kumi na mbili na nusu hivi
 
Mbona mshahara ulitoka jAna saa nane hv mkuu
Usawa huu mko ofisi Moja, kada Moja ,
Ngazi ya mshahara moja,
Mwenzako anapata mshahara leo ,
Wewe uje kupata kesho sio tabia nzuri hata kidogo..

Enzi zile za pontio pilato pamoja na ubabe wake lakini mshahara ulikuwa unatoka siku Moja,

Labda ilitofautiana dakika kadhaa lakini ndani ya masaa 24,

Leo hii mshahara wengine wamepata toka Saa 2 asubuh,

Wengine tunasubiri awamu nyingine...

Hii tabia IFE!

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kiasi cha TZS
Kiasi cha TZS 146708.38 kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na 09902 tarehe 22-12-2021. NMB Karibu Yako

Tunako Elekea Uko Mbele Hii Kazi Ni Kuiacha Tu..
146708.38 kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na 09902 tarehe 22-12-2021. NMB Karibu Yako

Tunako Elekea Uko Mbele Hii Kazi Ni Kuiacha Tu..
Asee kweli kimaisha hatufanani wengine kwa mwezi wanakunja 50k, unafikiri kuacha hyo kazi mwingine anaitamani hyo kazi 🙄
 
inabidi kuchunguza kabla ya kuandika..... kwa sehemu nyingi CRDB siku zote wametangulia kupewa chao then NMB...

Kama CRDB wangepewa asubuhi sa nne basi NMB watapata kuanzi sa moja usiku na kama CRDB wangepewa jioni nasi NMB ni kesho yake.... ( sio kote)

hii ilikuepo tangu enzi sa Jabali
 
Back
Top Bottom