Intelsat
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 323
- 532
Wakuu vijana wa kileo wanakengeuka sana sijui hata hayo makorokocho wanatolea wapi, nkikatiza Facebook au instgram Najikuta tu najiuliza hivi umo kweli kuna vijana wa kiume au? Kuna Haka katabia sasa ka kuji edit mtu anaonekana kama nguruwe hivi mmekatolea wapi enywe vijana Huu ni ujinga kabisa