Hii tabia ya kuagiza chai na chapati mbili aliianzisha nani?

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
Hivi ni nani aliyeanzisha haka katabia ka chai na
chapati mbili?? Hivi si mnakumbuka tangu miaka ya
90s mpka leo tunaagiza chai na chapat mbili
 
Hiyo ni tabia ya wanaume wa dar sisi wa mkoani hatuna hyo kitu sisi tunaagiza chai na chapat 6 na supu
 
Kinachoingia mwilini kutoka kwenye chapati mbili na sita ni sawa tu.....ila wewe unajaza choo sana tu.
 
Kwa nini unakula sana? Kwani mchana na usiku hauna chakula?
Kwa sababu mwanaume wa mkoa ni mwanaume wa kazi lakin dar kuna watoto wa kiume ndo maana hawali sana kazi zao sawa ni milo yao ya chipsi mayai
 
Hiyo ni tabia ya wanaume wa dar sisi wa mkoani hatuna hyo kitu sisi tunaagiza chai na chapat 6 na supu
hivi huko mikoani wote ni wakulima. na inawezekana mnagonga sana cha Arusha chapati sita.
 
Kinachoingia mwilini kutoka kwenye chapati mbili na sita ni sawa tu.....ila wewe unajaza choo sana tu.
Didier drogba anakula kuku wa 3 wa kienyeji coz ni mwanaume wa kaz lakin mwanaume wa dar anakula kuku mmoja na hamalizi
 
Kwa sababu mwanaume wa mkoa ni mwanaume wa kazi lakin dar kuna watoto wa kiume ndo maana hawali sana kazi zao sawa ni milo yao ya chipsi mayai

Kama mtu una uhakika wa kula tena baada ya masaa mchache yajayo hakuna haja ya kula sana Mlo mmoja tu, hata kiafya haishauriwi na haihusiani na Jinsia!
 
Didier drogba anakula kuku wa 3 wa kienyeji coz ni mwanaume wa kaz lakin mwanaume wa dar anakula kuku mmoja na hamalizi
Wewe unafanyakazi gani? Una uwezo wa ku-burn calories kama Drogba?! Umemuona mwili ule hauna mafuta,msuli tupu! tofauti na nyinyi chakula mnachokula kinaishia kujaza mafuta mwilini na choo.
 
hivi huko mikoani wote ni wakulima. na inawezekana mnagonga sana cha Arusha chapati sita.
Usifikiri mkulima tu ndo mtu wa kaz huku mkoani kuna ufugaj, uwindaji,uchimbaj madin, utengenezaj barabara n.k
 
Kama mtu una uhakika wa kula tena baada ya masaa mchache yajayo hakuna haja ya kula sana Mlo mmoja tu, hata kiafya haishauriwi na haihusiani na Jinsia!
Sasa kama ndo hivyo mbna hamuwez kaz wanawake wa dar wanalalamika kila siku na waganga wote wa nguvu za kiume wamehamia dar ndo kuna soko wanaona mkoani hakuna ishu
 
Wewe unafanyakazi gani? Una uwezo wa ku-burn calories kama Drogba?! Umemuona mwili ule hauna mafuta,msuli tupu! tofauti na nyinyi chakula mnachokula kinaishia kujaza mafuta mwilini na choo.
Sasa si ndo wanaume wa dar kaz zao laini sisi wa mkoani tunafukia vizur tukienda mzigon mafuta yote yanayeyuka
 
Chapati sita unajaza tumbo,kumbuka hapo kuna wanga mwingi na mafuta kidogo, afadhali ule sahani mlima ina mchanganyiko. Mtu anaekula chapati moja,maharage,sausage moja,yai moja,bacon moja anakuwa na afya nzuri kuliko unaekula chapati sita na kikombe cha chai.
 
Back
Top Bottom