Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,127
Nani kautia shakani ??Sidhani kama ni ubovu wa media per se, japo najua inawezekana ni mbegu zinazo ota baada ya uhusiano wa Kenya na Tanzania kuwa shaky siku za hivi karibuni.
Nani kautia shakani ??Sidhani kama ni ubovu wa media per se, japo najua inawezekana ni mbegu zinazo ota baada ya uhusiano wa Kenya na Tanzania kuwa shaky siku za hivi karibuni.
hilo ni gazeti au tissue?Wewe waache tu lakini wajue gazeti la 'Tanzanite' likianza kujibu mapigo hapo Nairobi hapatakalika
Umesema ungekuwa mwandishi wa BBC /ALJAZEERA usingeandika chochote kuihusu Tanzania hata kama ni ukweli ndio maana nikakuita mnafiki kwa sababu hujui majukumu ya vyombo vya habar ndio maana huwez hata kuwa mwandishi wa habar wa redio free....! Kuhusu watu kupotea na kuuawa kwenye familia ni nani wa kulaumiwa ........?Rais anaua Tanzania ? au kuna Tanzania mbili amabayo siijui ambae Rais anaua.
Sio mtu bali ni mambo yaliyojiri. Kama kuuza ng'ombe za wamasai kutoka Kenya na mengineo.Nani kautia shakani ??
Umesema ungekuwa mwandishi wa BBC /ALJAZEERA usingeandika chochote kuihusu Tanzania hata kama ni ukweli ndio maana nikakuita mnafiki kwa sababu hujui majukumu ya vyombo vya habar ndio maana huwez hata kuwa mwandishi wa habar wa redio free....! Kuhusu watu kupotea na kuuawa kwenye familia ni nani wa kulaumiwa ........?
Mzee taratibuBora watutie vidole vya macho kuliko kwenye tobo
Kumbe niwatu waliuza NGO,MBE .hapo nimekuelewa .lakini siyupo alosema wauzwe .au nimahakama iliamuru wauzwe .Sio mtu bali ni mambo yaliyojiri. Kama kuuza ng'ombe za wamasai kutoka Kenya na mengineo.
Uko sahihi sana magazeti yetu yako hovyo sana kuandika taarifa sahihi nishida isipo kua angalau mwananchi tena hilo linamilikiwa na wa kenya..... Tz katika Media tuko bado sana ....tuna propaganda za hovyo.hivi habari za kenya na za gazeti la uhuru zipi zipo realistic? msinipangie cha kuandika hapa
Hii ni tatizo la muda mrefu, nenda gazeti la TheEastAfrican, habari zote zinazohusu Tz ni za kuichafua zaidi, habari nzuri hazipewi kipaumbele na mbaya zaidi hizi media ya Kenya zina ushirikiano na media za kimataifa, habari itayoandikwa TheEastAfrican, utaikuta BBC na media nyingi kubwa hivyo hivyo.
Solution ni Tz kuwekeza haswa katika media, tuwe na vyombo vikubwa kama Azam media nyingi, serikali ilichukulie hili ni kama suala la usalama wa Taifa, waondoe makodi na changamoto zote ili media industry bongo ikue. Kwa wana usalama wanajua propaganda ni sehemu ya vita, ni lazima tuwe na uwezo wa kufikisha taarifa sahihi na salama kwa nchi yetu Africa na duniani kwa ujumla, hata ka Rwanda kanatushinda kwa propaganda kweli ?
Hahahaha Abdallahkova naomba uache kunitafuta maneno. HahahahaKumbe niwatu waliuza NGO,MBE .hapo nimekuelewa .lakini siyupo alosema wauzwe .au nimahakama iliamuru wauzwe .
Purely, one of a few idiot kenyans, I guess !Lipi la uongo hapo nani hajui Tanzania ni wanafiki toka mtu hadi serekali.
Mbona husemi wanavyoandikaga ukweli kwamba Tanzania ni mazuzu