Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 748
Kuna tabia ya baadhi ya wanaume kupenda akiongea jambo basi akushike begani or what, huwa inanikera sana sipendi mwanaume mwenzako anaongea na wewe halafu anataka kutouch any part of my body.
Naichukia na huwa siifanyi na anaeifanya huwa nakuwa sipo comfortable kuongea nae na huwa nashindwa kumdefine kabisa.
Labda nakosea nilivyoandika mtanirekebisha ila hivi vitu vipo and kama hupendi kuropoka utakuta jitu linaongea huwa najiuliza haya mazoea ndo yale ya utoto mnatembea au ni nini? Always natanguliza interest nipo against homosexuality 200%.