Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,023
- 71,229
Inaweza kua ni Duniani kwa ujumla wake.99%??? Hii ni TZ au duniani?
Au wee unadhan vile XXX video ndo uhalisia wa maisha ya jamii zao??
Tena kama nyie wa hapa Bongo ni 99.99 %.
Nyie wa bongo ni waongeajii. Yaan unaweza ongea mpaka mtu akasema wee ni Guru, kumbe hamna kitu