Hii suala kuhusu Yanga ni kweli au ni uzushi tu?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Katika pitapita yangu kweye Magazeti nimekutana na na habari inayosema kuwa Yanga wamewahi kupigwa magori 13 huko Brazil nikaona ngoje nije hapa jf kwa kuwa watu wanatunza kumbukumbu na kuna wanayanga Wakongogwe wanaweza kulitolea ufafanuzi.
Naomba wenye ukweli wa hili watiririke
Karibuni
FB_IMG_1515941539732.jpg
FB_IMG_1515941539732.jpg
 
Hizo ni akili za watu waliokosa ubingwa miaka mitano mfulilizo.
Lazima wapate namna nyingine ya kujifariji.
 
Kuna timu nyingine kubwa ya hapa nyumbani inasemekana ilikula 7_0 huko bondeni mwaka Jana tu,na kwa sababu kichapo kilikuwa kimya kimya basi viongozi na wachezaji wakalishana yamini kuto toa siri hiyo
 
Mkude alitoa siri akavuliwa unahodha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom