hii staili imekuwa maarufu sana kwa wadada siku hizi!

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
kata k.jpg

bila shaka hapo ni mahala pake
 
Wataalamu wanasema LIBIDO ya Wanaume imeshuka sana kutokana na maisha ya kisasa. Wasipotufanyia hivyo tunaweza tukapoteza kabisa!
 
Wataalamu wanasema LIBIDO ya Wanaume imeshuka sana kutokana na maisha ya kisasa. Wasipotufanyia hivyo tunaweza tukapoteza kabisa!

Ona wewe mkuu umeyatoa wapi haya. Kuachwa wazi kwa maeneo nyeti ya wanawake ndio sababu ya wanaume kupungukiwa utamani. Imefikia sasa kuwa ni mazoea kwa mtu kuona mapaja pair 6, masaburi mara 3 na maziwa angalau 4 kila siku kabla hajarudi nyumbani toka kazini.

Zamani ilikuwa nadra kumkuta mwanamke anatembea uchi, kwa hiyo unapofika nyumbani unapouona wa mkeo hamu inakuingia, lkn sasa kila unapopita wanawake wapo uchi. Utatamani maji ya nini ikiwa kuna mafuriko?

MiNUNGAYEMBE kama huyo pichani ni mfano mbaya kwa jamii, ndio hii inakuja JF kutafuta watu wa kuwaoa baada ya mtaani watu kuwadharau
 
Inachefua roho ikute hii kaivaa mkaka....

Mweh! We mama we, nini sasa anayovaa mkaka? Hiyo chupi au jeans? Ngoja nikupe story ya hiyo chupi.

Mlevi mmoja aliingia nyumbani kwake usiku akiwa tayari amelewa kama kawaida yake.

Kwa kuwa muda ulikuwa umekwenda sana mkewe alikuwa tayari ameshalala. Akawasha taa ya chumbani na mkewe alikuwa kitandani hajitambui kwa usingzi. Mara baada ya kumuona mkewe, mlevi akaanza kucheka na kucheka na kucheka mpk mkewe akaamka kwa mshituko wa kicheko. Muda huu na majirani nao wakawa wameamshwa na kicheko kile.

Mke akauliza kulikoni, jamaa bado anacheka tu mpk machozi yakamtoka kwa kicheko. Baada ya kuulizwa mara kadhaa, mlevi akajibu, "leo ni mara yangu ya kwanza kuona 'masaburi' yamevaa kandambili" majirani ambao wakati huo walikuwa madirishani wakisikiliza, wakaondoka bila kuelewa nini maana kilikuwa kinaendelea.

View attachment malapa.bmp
iAAAAABJRU5ErkJggg==


Mambo yenu nyeee!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom