agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,391
We nitumie tu nyingi nyingi.Nitakutumia usijali, bei gani itakutosha kufika kazimzumbwi
Kusinda vihi mndeleNvyedi mghoshi
Nampa masaa 12 asiporudisha hela naanika chat
Usicheke mkuu, huu ni msiba ujueHii komenti yako imenibidi ni cheke tu!
Njoo bas mumu wng
Aisee
Malaya si unamtumia picha ya uongo tu mkuu.Watakua wale wa magroup ya malaya huko insta, ilishanikutaga hii, Niligoma kutuma elf tano akachukua picha yangu akaipiga bonge la bandiko "MALAYA WA INSTA'' kaniambia nisipotuma hiyo 5k anaipost huko insta, Mbona niliomba pooo!
Kwa hili povu mpenzi naomba agiza Fanta orange 😀😀😀Naona wanaume mnazidi kujiongezea mlima wa kula za uso huko PIEMU sasa nasemaje mlioko huko pm kwangu muusome huu uzi kwa makini kabisaaa maswala ya kuombana namba za simu na maswali mengi ya unaishi wapi siyajibugi kwa usahihi kwasababu kama hizi za kisengerema
4800 unafoka na kujitutumua eti utamuanika fyeeeeeeeee wanaume wa humu wengi wao ni mafambastick yawezekana ni wanawake wenzetu tu umenikera kweli kweli
Kwa hili povu mpenzi naomba agiza Fanta orange
Msalimie shemela kwenye avatar hapo 😀😀Kwakweli manake nimepovuka si kidogo
Asante sana wangu kwa chodaa
Hivi iko kizigua au kibondei ndugu yangu woiiii hahhahaKusinda vihi mndele
Tuma bwana uzi kitu gani utaandika vitasahaulikaNgoja nijaribu kutuma ila usipokuja uzi utakuhusu
Hahahaha hata najua nilicho andika nimejaribu nahisi ni kiziguaHivi iko kizigua au kibondei ndugu yangu woiiii hahhaha
Hahahhahah kizigua, kibondei kwa mbali sana vinaingiliana na kisambaaHahahaha hata najua nilicho andika nimejaribu nahisi ni kizigua
Sawasawa zimefikaMsalimie shemela kwenye avatar hapo
SawaTuma bwana uzi kitu gani utaandika vitasahaulika
Asee ilo ni toto kweli kweli, nikikutana nae nauza tractor zangu zote,naenda kumjengea pembeni ya mlima Kilimanjaro!!!Naona wanaume mnazidi kujiongezea mlima wa kula za uso huko PIEMU sasa nasemaje mlioko huko pm kwangu muusome huu uzi kwa makini kabisaaa maswala ya kuombana namba za simu na maswali mengi ya unaishi wapi siyajibugi kwa usahihi kwasababu kama hizi za kisengerema
4800 unafoka na kujitutumua eti utamuanika fyeeeeeeeee wanaume wa humu wengi wao ni mafambastick yawezekana ni wanawake wenzetu tu umenikera kweli kweli