Hii sio haki

Mkuu fanya kama imekudondoka tu,usilalame sana mkuu maana hata kumuanika umeshindwa umebaki mkwara tu
 
Naona wanaume mnazidi kujiongezea mlima wa kula za uso huko PIEMU sasa nasemaje mlioko huko pm kwangu muusome huu uzi kwa makini kabisaaa maswala ya kuombana namba za simu na maswali mengi ya unaishi wapi siyajibugi kwa usahihi kwasababu kama hizi za kisengerema

4800 unafoka na kujitutumua eti utamuanika fyeeeeeeeee wanaume wa humu wengi wao ni mafambastick yawezekana ni wanawake wenzetu tu umenikera kweli kweli
 
Watu tunahongwa majumba biashara na magari na tunachomoa ije kuwa hivyo vielfu 30!!!
 
Back
Top Bottom