flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,861
- 6,342
Karibu pm mamaaOh yeah
Karibu pm mamaaOh yeah
Nvyedi mghoshiNzeze mwenshu?
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄🤣 Kwa kweli ukiombwa kiwango kama hiko lazima ujue ulikuwa unataniwa ili ujiongeze! Na kwamba kwa kupata vichekesho vingine kama hivyo wasiliana na Dada huyo wa JF!
Leta nyau weweUnataka nije nilete uzi wa " lnna kanichuna hajatokea" ?
Nvyedi mghoshi
Hahahhaha we mpare bwana halafu pm zangu huzioni au unavyonipotezea
Wewe unipm mimi? Nahamia JamiiForums.comHahahhaha we mpare bwana halafu pm zangu huzioni au unavyonipotezea
😊Nimekumbuka tu...
Jamani jamani kwa nn nisikupm mmWewe unipm mimi? Nahamia *********
Hivi wewe nauli hutaki?
Nilimtumia 4800
😂😂😂😂Nilimtumia 4800
Ngoja nijaribu kutuma ila usipokuja uzi utakuhusuJamani jamani kwa nn nisikupm mm
Sio nauli sitaki naona sina bahati ya kutumiwa sijui nakwama wapi mm ebu jaribu kunitumia
Hahhhhhhhhhhh nacheka kwanguvuMwanaume mzima unaanzisha thread ya kumdai mwananmke TZS4,800?
Hahh nacheka tu na koment za watNdio maana hakuja wenzako tunatuma elfu 30 au 40 au 50 inategemea na status yake
Sasa we we elfu 4800
Alikublock duhh hahh kisa ...naul uyo hatarKama alipata zalula angesema kuliko kunibuloku
Naona wanaume mnazidi kujiongezea mlima wa kula za uso huko PIEMU sasa nasemaje mlioko huko pm kwangu muusome huu uzi kwa makini kabisaaa maswala ya kuombana namba za simu na maswali mengi ya unaishi wapi siyajibugi kwa usahihi kwasababu kama hizi za kisengerema
4800 unafoka na kujitutumua eti utamuanika fyeeeeeeeee wanaume wa humu wengi wao ni mafambastick yawezekana ni wanawake wenzetu tu umenikera kweli kweli
Watu tunahongwa majumba biashara na magari na tunachomoa ije kuwa hivyo vielfu 30!!!Umeshawahi kuhonga wewe!? - JamiiForums
Wale mabahili lakini tunahonga tukutane hapa! Nianze na Mimi kima cha mwisho kabisa nimeshawahi kuhonga kima cha mwisho kabisa Elfu 30tsh tena hadi Demu nimuelewe kweli kweli na lazima nimpe na zawadi ya mimba kabisa! Je?wewe umeshawahi kuhonga bei gani na pia ukajutia sana! Team mabahili...www.jamiiforums.com