RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,833
Naona mmeungana kutetea upigaji wa 4,800/-Na kwa staili hii hatuendi kokote
Naona mmeungana kutetea upigaji wa 4,800/-Na kwa staili hii hatuendi kokote
Yaani hawa viumbe bhanaNaona mmeungana kutetea upigaji wa 4,800/-
That is noted. Kwa hiyo Sisi site mnatuona mbwiga??Nimetania tu
Haya changishaneni mumrudishie kanali 4800 yake msizuge hapa
That is noted. Kwa hiyo Sisi site mnatuona mbwiga??
Naona mmeungana kutetea upigaji wa 4,800/-
Nitakutumia usijali, bei gani itakutosha kufika kazimzumbwi
Haya kumekucha, mbona mie situmiwi nauli hivi nakwama wapi
Mbona hukuaga?Woiii siku hizi sikai tabata jomoniii...niko msakuzi mimi
HahahahahahahaahhaKwani me naishi Maji matitu mkuu???? Ngoja wanaokaa mbagala wachange
Unataka nije nilete uzi wa " lnna kanichuna hajatokea" ?Bahili kama ww hatukutaki apa una edit msg ya mpesa..kione kwanza
Aahh..niko kote kote😄Mbona hukuaga?
Oh yeah😋Takutumia nyingi ambayo hata nikikutangaza roho haiumi
Aahh..niko kote kote
🤣 Kwa kweli ukiombwa kiwango kama hiko lazima ujue ulikuwa unataniwa ili ujiongeze! Na kwamba kwa kupata vichekesho vingine kama hivyo wasiliana na Dada huyo wa JF!😀😀😀😀😀😀😀
Hebu kuweni na huruma rudisheni hiyo hela jamani
Hii komenti yako imenibidi ni cheke tu!
Haya kumekucha, mbona mie situmiwi nauli hivi nakwama wapi
Nzeze mwenshu?Kuzacha
Nimekumbuka tu...Una nini lakiniii...