toponyondo
Senior Member
- Dec 27, 2018
- 169
- 94
kuna maandishi yanajitokeza kwenye kioo yanasomeka HIV, Your bettery bettery temperature is too low,
msaada waungwana sijui tatizo
msaada waungwana sijui tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap screenshot tuloleWeka screenshot tuyaone
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
wanafanyaje hiyo schreen
Una bonyeza power button na button ya volume up Kwa pamoja.wanafanyaje hiyo schreen
upo nchi ganikuna maandishi yanajitokeza kwenye kioo yanasomeka HIV, Your bettery bettery temperature is too low,
msaada waungwana sijui tatizo