Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Msishangae hizo zimepatikana baada ya ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na JK kwenda Japan kuomba msaada!!!

Unatumia bilion 1 kwenda kuomba na wewe unapewa 0.7bn!!!

Msishangae hizo zimepatikana baada ya ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na JK kwenda Japan kuomba msaada!!!

Unatumia bilion 1 kwenda kuomba na wewe unapewa 0.7bn!!!

Bora wakachukukue za brigedia shimbo..
Serikali ya Japani imetoa msaada wa Tsh713m kwa Tz kwa ajili ya miradi ya maendeleo!

My takeTanzania yetu sio ya kupewa msaada wa namna hiyo!
source: chanel ten-habari
Toa taarifa kamili acha kutafuna maneno.Sisi wenyewe tushawapa Wajapan msaada wa maafa mdogo kuliko huo. Au umesahau?
Toa taarifa kamili acha kutafuna maneno.
Basi JF ifungwe tuhamie google.Goooooogle wacha ukora!
Sisi wenyewe tushawapa Wajapan msaada wa maafa mdogo kuliko huo. Au umesahau?

Bora wakachukukue za brigedia shimbo..

hıvı hıı ınshu ya Brıgedıa ılııshıa wapı?

Serikali ya Japani imetoa msaada wa Tsh713m kwa Tz kwa ajili ya miradi ya maendeleo!

My takeTanzania yetu sio ya kupewa msaada wa namna hiyo!

source: chanel ten-habari
Tanzania ulishaiona kweli inasonga mbele au inasonga nyuma??

Hapa hata thumni inapokelewa tu ili mradi nchi isonge mbele