Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Sasa ni official kwa Wazungu (Uingereza) kwamba Dereva yoyote ambaye atafanya ajali na kuua, na chanzo cha ajali kikawa ni yeye kutumia Simu wakati akiendesha basi atahukumiwa kifungo cha maisha, izingatiwe kwamba Kifungo cha maisha ndiyo kama kama kunyongwa kwetu kwani ndiyo adhabu ya mwisho ambayo Binadamu anaweza kupewa!
Hapa vipi Serikali yetu ingepitisha Sheria wala siyo kama hivi bali tu hata kusema atakayesababisha ajali huku akitumia Simu kwenda Jela moja kwa kwa mwezi 1, ingekuwaje? Watu wangesema ni Udikteta, kwa maana tangu Mtanzania ajue neno Dikteta hata haelewi maana yake anajiongelea tu ...
Mtu anaambiwa alipe Deni alilokopa yeye mwenyewe analia Udikteta!