Hii Sheria ya Uingereza ingekuja Tanzania, tungelia udikteta!

Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,701
Likes
18,484
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,701 18,484 280
Sasa ni official kwa Wazungu (Uingereza) kwamba Dereva yoyote ambaye atafanya ajali na kuua, na chanzo cha ajali kikawa ni yeye kutumia Simu wakati akiendesha basi atahukumiwa kifungo cha maisha, izingatiwe kwamba Kifungo cha maisha ndiyo kama kama kunyongwa kwetu kwani ndiyo adhabu ya mwisho ambayo Binadamu anaweza kupewa!

Hapa vipi Serikali yetu ingepitisha Sheria wala siyo kama hivi bali tu hata kusema atakayesababisha ajali huku akitumia Simu kwenda Jela moja kwa kwa mwezi 1, ingekuwaje? Watu wangesema ni Udikteta, kwa maana tangu Mtanzania ajue neno Dikteta hata haelewi maana yake anajiongelea tu ...
Mtu anaambiwa alipe Deni alilokopa yeye mwenyewe analia Udikteta!

kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
3,680
Likes
6,217
Points
280
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
3,680 6,217 280
Na juzi Mzee wako kawaambia askali jela kuwa mtu akifika jela "amenyeke" kweli!
 
Dahafrazeril

Dahafrazeril

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
1,513
Likes
2,004
Points
280
Dahafrazeril

Dahafrazeril

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
1,513 2,004 280
Hivi sasa kuna haja ya Kurudi darasani Mkuu.

Hili suala likiletwa huku kwetu hatutokawia kusema kuwa ni UDIKTETA UCHWARA kama wengi wengi tulivyokariri kama kasuku.Wimbo uliobaki midomoni mwetu hivi sasa ni Udikteta tuu,hakuna lingine.

Binafsi nadhani ingefaa ili kuondokana na ajali zinazoepukika.
 
silasc

silasc

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Messages
3,377
Likes
1,886
Points
280
silasc

silasc

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2013
3,377 1,886 280
Sasa ni official kwa Wazungu (Uingereza) kwamba Dereva yoyote ambaye atafanya ajali na kuua, na chanzo cha ajali kikawa ni yeye kutumia Simu wakati akiendesha basi atahukumiwa kifungo cha maisha, izingatiwe kwamba Kifungo cha maisha ndiyo kama kama kunyongwa kwetu kwani ndiyo adhabu ya mwisho ambayo Binadamu anaweza kupewa!

Hapa vipi Serikali yetu ingepitisha Sheria wala siyo kama hivi bali tu hata kusema atakayesababisha ajali huku akitumia Simu kwenda Jela moja kwa kwa mwezi 1, ingekuwaje? Watu wangesema ni Udikteta, kwa maana tangu Mtanzania ajue neno Dikteta hata haelewi maana yake anajiongelea tu ...
Mtu anaambiwa alipe Deni alilokopa yeye mwenyewe analia Udikteta!

Mbona hiyo mifano haiendani?! Ajali huondoa uhai na pia husababisha ulemavu, lakini madeni hayatoi uhai wala kutia watu ulemavu.
 
dustless

dustless

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Messages
801
Likes
697
Points
180
Age
49
dustless

dustless

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2016
801 697 180
Mbona hiyo mifano haiendani?! Ajali huondoa uhai na pia husababisha ulemavu, lakini madeni hayatoi uhai wala kutia watu ulemavu.
Mbona watu wanakufa na presha baada ya kuona wana mzigo mkubwa wa madeni kwenye mabenki na taasisi zingine za fedha. Madeni yanaua bhana labda kama unadaiwa buku..
 
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
2,596
Likes
2,796
Points
280
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
2,596 2,796 280
Hata kumfunga dereva wa basi aliyelewa ni udikteta. Kwani pombe aliyokunywa si imelipiwa kodi.
Kumuondoa mmachinga au changudoa barabarani ni udikteta. Kwani wakale wapi ? Kuwaambia wenye bar wasipige mziki kwa sauti kubwa nao ni udikteta. MY SHOES
 
silasc

silasc

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Messages
3,377
Likes
1,886
Points
280
silasc

silasc

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2013
3,377 1,886 280
Mbona watu wanakufa na presha baada ya kuona wana mzigo mkubwa wa madeni kwenye mabenki na taasisi zingine za fedha. Madeni yanaua bhana labda kama unadaiwa buku..
Wadaiwa bodi ya mikopo toka 1994 wamekufa wangapi?
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
10,735
Likes
8,135
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
10,735 8,135 280
Russia ukiendesha gari chafu unapigwa faini ya rubble 2000 sawa na $57.
Sijui wangapi mtapigwa faini.

Na huko Costa Rica, kuendesha gari ukiwa na chupa ya bia mkono mmoja na mwingine kwenye usukani ni poa tu maadamu hulewi chakari.
NaonaTZ ingekuwa boda wengi wangeshukia Costa Rica
 
B

Baba Ndumbwi

Senior Member
Joined
Jun 30, 2013
Messages
143
Likes
156
Points
60
B

Baba Ndumbwi

Senior Member
Joined Jun 30, 2013
143 156 60
Na juzi Mzee wako kawaambia askali jela kuwa mtu akifika jela "amenyeke" kweli!
Yes lazima amenyeke kutengeneza mahitaji yake muda wote awapo gerezani sababu hata angekuwa kwake angemenyeka kuyapata
 
MSIMISEKI SENIOR

MSIMISEKI SENIOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Messages
462
Likes
219
Points
60
MSIMISEKI SENIOR

MSIMISEKI SENIOR

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2014
462 219 60
Hahahahahahahaaaaa mbavu zangu mie KUMENYEKA KWELI KWELI
 
Forum statistics

Threads 1,272,335
Members 489,924
Posts 30,448,060