Hii sasa sijui tuiite nuksi au vipi tena?...mtu afariki baada ya kumhudumia Rais!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii sasa sijui tuiite nuksi au vipi tena?...mtu afariki baada ya kumhudumia Rais!!!

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Jul 7, 2012.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Ohio diner owner dead hours after serving Barack Obama

  [​IMG]

  Josephine Harris restaurant was Mr Obama's first stop of the day

  A restaurant owner who served US President Barack Obama breakfast on a campaign stop has died hours later.

  Josephine Harris, 70, who owned Ann's Place in Akron, Ohio, was taken to hospital after complaining of fatigue and a tingling feeling.

  She went into cardiac arrest en route and was pronounced dead shortly after 11:00 EST (15:00 GMT).

  Mr Obama arrived the restaurant at about 08:30, ordering two eggs "over easy", bacon and wheat toast.

  The Summit County medical examiner's office said Josephine Harris had died of natural causes and there would be no autopsy.

  In a statement, White House press secretary Jay Carney said Mr Obama called her daughter from Air Force One to express "his sorrow and his condolences".

  "He was honoured to meet [Ms Harris] this morning and passed on his feeling that the whole family is in his thoughts and prayers," Mr Carney said.

  The Akron Beacon Journal reported that Ms Harris had hugged Mr Obama when she met him at the restaurant.

  "I'm sure this was her highlight," Frankie Adkins, her sister, told the Journal. "She loved Obama."

  BBC News - Ohio diner owner dead hours after serving Barack Obama
   
 2. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hii si nuksi kwani kama ni nuksi wengi wangeishakufa tokea 2007. This is natural causes kwani mwanadamu hana guarantee toka kwa mungu kuwa the next minutes atakuwa hai.

  Kifo hiki kimepata publicity kwa kuwa aliyefariki alionana na Obama na lengo hasa la media ni kuanza ku-spin, this is good talking point kwa akina Rush ila itakuwa ila sidhani kama ni political issue. Bimkubwa inawezekana kuwa alikuw exited kupita kiasi, na huenda ndiyo sababu ya kumletea mshuto. Ila kwa ujumla hii huwezi kuita nuksi kwa Obama, kwani matukio ya kukutana na wananchi kayafanya sana, na hili si la kwanza.
   
 3. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tuiite coincidence until further information.
   
 4. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  True dat.

  Mimi niliposikia hii habari nilidhani mwanamama kafa ndani ya restaurant while serving POTUS kumbe mtu
  kafia hospitali...the media has its ways of doing things!
   
 5. H

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  mwenzenu obama aliaga kwao, unakumbuka kabla hajawa rais wakati tu anapotegemea kuanza kampani aliifata mizimu yao ya kijaluo kule kisumu....fanya mucheso na yeye hapaha bana.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Hakuna nuksi yeyote muda ukifika wakati wowote unakufa.
   
 7. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Neno nuksi limekosa maana ndani ya thread hii
   
 8. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,554
  Trophy Points: 280
  media za west zimetawaliwa na watu wa aina ya Andersson Cooper , tutegemee nini kama si habari za kise...ge
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi umekaribia, lazima damu ya mtu imwagike ili Mjaluo aingie awamu ya pili MAGOGONI YA WASHINGTON DC
   
 10. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ule mwaka 2008 damu ya nani ilimwagika?. Unataka kuleta mambo ya Bagamoyo na kuwekea watu dawa za kienyeji kwenye vyanzo vya maji ili waoge na kunywa ili wakukupende na kukupigia kura hata kama unachekacheka tu! na kukimbia mnidahalo na wagombea wenzako?
   
 11. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Inawezekana alipata mshtuko hakutegemea kwenya maisha yake ipo siku atakutana na mr obama live.Breakfast aliyo order hawezi kuwa na nuksi.
   
 12. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Nilifikiri Huyo mhudumu angekuwa ni Mwigulu Njemba au Wassira.....am disappointed. R.I.P miss Josephine.
   
 13. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,329
  Trophy Points: 280
  An over excited 70 year old geezer kufa kwa ugonjwa wa moyo unaita nuksi?
   
 14. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu nafikili mama huyo alikuwa na "heart condition" ya muda mrefu, naona kile kitendo cha kuhudumia Obama kilimu-excite muno na kusababisha adrenalin nyingi kuingia kwenye damu yake mpaka ikapandisha pressure-ni hicho tu mkuu.
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ugonjwa uliomuuwa huyo mama unaitwa excite Syndrome..............................LOL
   
 16. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Khaaa! Mkuu, sikujua hili kumbe watu waliwekewa hadi limbwata la kwenye maji...!!!!
   
Loading...