Hii sasa kufuru, yaani milioni 125 kwa kalamu 35?

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
651
853
Hii Kufuru Sasa...Yaani Milioni 125 Kwa Kalamu 35?!!
Bunge la nchini Uganda, linafanya uchunguzi juu ya ufujaji wa mamilioni ya shilingi kutokana na ununuzi wa kalami 35 kwa shilingi milioni 125 za Uganda.
Kalamu hizo zilitumika kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya nchi hiyo.

Hii inatakiwa kuingizwa kwenye kitabu cha Guinness.
 
125/35=3.5714million.......sio mbaya inawezekana zimetengenezwa kwa madini ya Almasi au Tanzanite......kama ni aina ya Spido au Bic hapo lazima wajibu.
***Wa Africa akili zetu tunazijua sisi wenyewe***
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Back
Top Bottom