Hii sasa ishakuwa zaidi ya hujuma serikali ingilieni

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
16,936
2,000
Ndoo tupu ya 20ltrs ukinunua dukani ni shilingi 5000 mpaka3500 sehemu nyingine unapata.

Plastic cock ya nusu nchi ni shilingi 3500 hadi 2500 ile back nut ya kuifungia ndani hiyo cock hapo kwenye ndo ni shilingi 1000.jumla vyote ni 9500.

Lakini higo ndoo ukienda kununua saa hivi ikiwa ishatobolewa eti ni shilingi 18000,hivi hapo kuna nini cha zaidi kinaongezeka hadi kuuzwa bei hivyo au kwa kuwa soko limeongezeka kw kipindi hichi cha corona,serikali naombeni muingilie kati kuna watu wanatamani kuwa nazo nyumbani ila wanashindwa hizo bei.
 

Elisha2004

JF-Expert Member
Feb 21, 2020
492
1,000
Alisemeaga mwenyekitiiii uzeni mahindi kwa bei ile mwataka. Wacha ba wao ba uze vire wataka

Don't make a promise you can't fulfill...
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
39,646
2,000
Ndoo tupu ya 20ltrs ukinunua dukani ni shilingi 5000 mpaka3500 sehemu nyingine unapata.

Plastic cock ya nusu nchi ni shilingi 3500 hadi 2500 ile back nut ya kuifungia ndani hiyo cock hapo kwenye ndo ni shilingi 1000.jumla vyote ni 9500. Lakini higo ndoo ukienda kununua saa hivi ikiwa ishatobolewa eti ni shilingi 18000,hivi hapo kuna nini cha zaidi kinaongezeka hadi kuuzwa bei hivyo au kwa kuwa soko limeongezeka kw kipindi hichi cha corona,serikali naombeni muingilie kati kuna watu wanatamani kuwa nazo nyumbani ila wanashindwa hizo bei.
Hizo ndoo nyumbani ya nini? Anyway kama ulivyoorodhesha vinapatikana ni vizuri ununue mwenyewe uokoe 9000/-
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom