Hii sasa Imezidi: Dr. Kitila Mkumbo kupandishwa kizimbani kwa Uchochezi!

hawawezi zuia moto, moshi ushaanza kufuka mwigulu wewe ni dada tuu mbele ya CM

Mwigulu ana hulka ya kupenda favour ta polisi. Ila strategy hii anayotumia inampaisha Dr Kitila labla kesi iendeshewe Dar. Hapa hakuna uchochezi wa Dr Kitila mchochezi ni yule aliyewatuma watu wakafanye fujo kwenye mkutano wa CDM. CCM wasidhani kuwa vitendo hivi vya uonevu na upendeleo wa Polisi vinaimarisha chama chao, bali vinaimarisha upinzani zaidi. Ukishindwa hoja kwenye majukwaa basi rudi ukajipande siyo kutumia dola ku-supress your oponent.

Dr. Kitila ninamfahamu vizuri sana toka akiwa rais wa DARUSO, ni mtu mwenye charisma ya uongozi na msimamo usiotetereka. Kitila is a leader not Coward like those who are afraiding him and use Police to intimidate him. Nchemba asidhani kuwa kupewa uweka hazina wa CCM basi ni cheo kitakachomfanya yeye apae kisiasa la!, ukisubiri kupakatwa kisiasa ili upae ujue umekwisha maana siku aliyekupakata akianguka na wewe unaenda nae chini. Mwigulu alikuwa na nafasi nzuri ya kujijenga kisiasa kwa kujifunza kutoa hoja zenye mashiko siyo taking personal praise and being scallywag
 
Mwigulu atamwaga damu nyingi za watu wasio na hatia kabla ya wakuu wake ktk chama kutambua kwamba anazidi kuwaondolea mvuto kwa matendo yake ya kijinga.
 
Waache tuwaone wana muacha mchochezi burn(mwingulu) ana endelea kumaliza watu! Na ukitaka kujua burn alivyo muaji ni jinsi alivyo taka lijadiliwe bungeni hili apotoshe umma wakati ukweli una julikana! Yan ana jihisi mwenye hatia kila siku ndio maana ana changanyikiwa kabisa na kutunga sms na kusema ametishiwa!

Kamwe haki haipotei!
 
Kwa kuwa ccm na serikali yake wamejigeuza kuwa kama genge la wajinga siyo ajabu wakifanya hivyo. Lakini nadhani wangefikiria kwanza wana evidence za kutosha kushinda kesi. Endapo watashindwa kesi au wakishinda kwa kulazimisha, kama ilivyotokea kwa Lema, basi itawacost sana. Popularity yao itazidi kushuka zaidi. Hilo ndo tatizo la kutokuwa na smart strategists.
 
Kitila, mwenzako Baregu walimtimua kabisa hapo UDSM......
Katika kile kinachoonekana ni vita sasa kati ya serikali na CDM jeshi la polisi nchini limeamua kumfungulia mashtaka mhadhiri wa chuo kikuu cha DSM na mjumbe wa Kamati kuu CDM Dr Kitila Mkumbo kwa kile wanachodai ni uchochezi wake aliofanya siku alipohutubia mkutano katika kata ya Ndago jimbo la Iramba Magharibi.
Wachunguzi wa mambo wanadai mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba ameapa kutumia kila njia kumzuia Dr Kitila Mkumbo asipate nafasi ya kugombea katika jimbo hilo hasa kutokana na kuwa Dr Kitila ni chaguo la wanaIramba wengi na ana heshima kubwa huki kwao hasa kutokana na hekima na busara zake anapozungumza.

Source: ITV (Dondoo za gazeti la Nipashe la Ijumaa)
 
Namfananisha Mwingulu na Masha !!!

Mkuu hujamtendea haki Masha. Hata mimi mwanzo nikiwaza hivyo,lakini ktk kikao hiki cha Bajeti nimemdharau kabisa huyu dogo Mwigulu. Ni mshamba,limbukeni na muuaji! Amejitengenezea anguko lake mwenyewe kisiasa akiwa bado mdogo. 2016 atafute kazi nyingine ya kufanya.
 
Yamefichwa wenye akili wasijue na watoto wakafunuliwa, busara na hekima si watoto wa elimu! Mwigulu ni msomi mzuri tu lkn anapwaya sana, jaribuni ku trace alikopita
 
Nyie kazi yenu kupora wake za watu na udisko joker tu,mmeshindwa hoja bungeni mnaanza matusi.shame on u all.

Unajua wewe unatakiwa ukamalizie darasa la saba ulilokatisha. Ungefika angalau form two ungeweza kuwa na akili kidogo za kuandika kitu kinachoeleweka, umekuwa kama shuzi au bendera fata upepo, hujui mwelekeo wako....poleeeee saaana!!! nyau wewe
 
Mbinu zinazotumika katika siasa kipindi hiki zinaipeleka nchi kubaya. Kuna haja ya serikali kuangalia tena upya ili kuepuka chuki zisizo za lazima. Hiki sio kipindi cha kutegemea serikali kushangiliwa kwa kupigiwa makofi kwa kila wanalolifanya.
 
​tamu chungu kameze panadol maumivu yakizidi
wewe ambaye unapatia taarifa zako kwny magazeti ;bona umeshindwa kumshauri huyo kitulo na mnyika wake wasiuwe?kwanini walimkimbiza yohana hadi kwny nyumba ya mwalim na kumuua?nao wanyongwe tu.
 
Mwigulu alkuwa kiongozi pale Mazengo Tech (currently st. john univ) akiwa A level 1999. alikuwa kichwa huyu jamaa nashangaa siku hizi anaongea pumba na matusi hope hii elim kaipata pale UDSM.
Nkimskia najuta kwann tulimchaguaga pale Mazengo.
 
mnyika ndo atakumbuka kwenda kumalizia degree yake pale udsm baada ya kufel kwa ukilaza.
Mh! Uongo wako mpk unakuwa mtumwa. Mwaka 2010 vyuo vikuu vyote Tanzania vilichelewa kufunguliwa kisa watu wa UDSM wasiwepo kumpigia kura JJ. Matokeo yake wewe ni shahidi lkn hapa unajishebedua. Paka mapepe we!
 
Back
Top Bottom