Elections 2010 Hii sasa hatari?

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
Wazee wamepigiwa magoti ili warudi kuokoa meli ambayo imetoboka shimo kubwa na maji yanajaa kwakasi sana meri yenyewe haina hata maboya, ndio maana baadhi yao wanasema watasaidia lakini huku wakiwa kwenye maboti yao na kamwe hawata thubutu kusaidia kwa kupanda meri hiyo ambayo nahodha alijiamini kabisa hakuzingatia ushauri wa manahodha hao wakongwe, wajanja tayari wameanza kuogelea ilikama meri hiyo itazama basi wakimbilie meri jirani wakapate hifadhi huko, Tahadhali yangu ni kwamba hiyo meri mpya lazima nahodha aangalie inaweza kujaza kupita kiasi nabaadae nayenyewe ikazama, TETESI NIKWAMBA MAFISADI NDUMILA KUWILI TAARATIBU WAMEANZA KUSOMA UPEPO NA WANAANZA SASA KUJISOGEZA JIRANI NA MERI MPYA WAPATE VYEO, NAMWOMBA NAHODHA AWEMAKINI NA KILA AJAE WENGIE NI WALEWALE AMBAO HATUWATAKI.

Nimeshituka sana Baada ya kuona ndugu yangu fulani, Mkubwa nguli wa ccm sasa akilegeza sana msimamo wake na kuanzakuonyesha msimamo positive kwa sera za upinzani na kuukubali upinzani, sasa naamini upinzani utakwenda magogoni mwaka huu, ila waangalie sana wasimkubali kila mtu bila kumchunguza kwa kina, ahsante.
 
Ni kweli ukifungua mlango ili upate upepo wa kutosha!hata inzi huingia ndani na kuleta usumbufu!
 
nzi si wanauliwa kwa spray tu, hivyo chadema watafute dawa ya kuwaangamiza tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom