Hii saluni imeniacha hooooooi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii saluni imeniacha hooooooi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtu B, Sep 25, 2010.

 1. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Iko maeneo ya Sakina. Leo asubuhi nimeenda pale kunyoa nywele, ndevu na kufanyiwa mambo ya scrub usoni, sa yule mrembo aliyekuwa ananifanyia scrub akaniambia na massage ipo wanafanya na yeye ndiye mtaalamu. Kwa jinsi alivyonifanyia vizuri usoni nikapenda, wateja wa hii kitu mnafahamu jinsi wale warembo wanavyotekenya uzuri masikioni huku mwanaume umeegeshewa boobs mabegani, lazima utatamani afanye zaidi. Nikauliza bei nikajibiwa 30,000 per hour, nikatafakari nikaona hebu nijaribu.

  Mwanangu hiyo kitu usipimeeee! Humo ndani kunapendeza full manukato! Yaani kama zile za majuu ninazoonaga kwenye movie. Hiyo huduma sasa. Ndipo nilipoelewa walipoandika bango lao nje kuwa wananyoa nywele aina zote ni kweli. Wamenyoa washkaji, koteee! Mengine sitaandika hapa maana hii ni public forum, lakini ni kweli mrembo yule amenifanyia full body massage kama anavyoita mwenyewe, kamalizia kule ambako kinyozi hakuona, kanikata kucha, kasugua nyayo, kanifanyia naniihii yaani mi naweza kusema ni balaa, hakyanani mtu unaweza kufilisika hivihivi!

  Halafu saluni yenyewe ilivyo huwezi kuamini kabisa!
   
 2. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwa ulivyosifia, nina hakika umeshaiingiza kwenye budget yako. No way out!
   
 3. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,134
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  Mh! Naiona ndoa yako ileee umeiacha hatua tano tayari (if married), mkeo huwa hakuoni kuwa una machaka kweli?
  Umeshindwa kueleza vyema nahisi hata umefanya uchakachuaji, maradhi nayo yalee yanakusogelea mana sina hakika kama jezi ilikuwa karibu.
  Kama hujaoa tayari umeshakamatika, jitahidi ufanyiwe massage tu na si vinginevyo mkubwa.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Siku hizi kila kitu ni biashara mwana
   
 5. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hilo si la kufikiria mara mbili! Sikujua kama mambo haya yapo hapa kwetu!
   
 6. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sijaoa, so hakuna ndoa iliyoko hatarini. Hata hivyo ni massage tu ndugu yangu, believe you me, ila raha yake usipime!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu, eleza vizuri...Sakina sehemu gani,..ni Silent, Darajani, au Sakina Bar?
  Kuna watu wanaonyesha interest hapa kutokana na Marketing Strategy yako!!
   
 8. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu kwisha wewe
   
 9. t

  tulacomplex Member

  #9
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HELOOW TO ALL MEMBERS,UM TULACOMPLEX,AND NEW HERE....
  Em nambie bro,kwenye hiyo saluni ni watoto wa kiume tu ndo wanahudumiwa?wanawake wanapata hizo huduma kwa warembo wenzao,ama kuna wakaka wanatoa service iyo??
   
 10. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sina marketing strategy mkuu, kwa hiyo siwezi kutoa details kwenye open forum maana sina makubaliano yoyote na mwenye biashara ile. Lakini kama kuna mtu anataka akiniuliza naweza kumuelekeza kirafiki, PM only. Siko kibiashara wakuu nisieleweke vibaya.
   
 11. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni saluni ya wanaume, kunyoa nywele na ndevu. Wapo wahudumu wa kiume na wa kike. Wahudumu wa kiume ni vinyozi tu, wa nywele na ndevu. Wale wa kike wanashughulika na scrub usoni, na leo nimegundua wanafanya na massage pia. Siku zote nilizohudhuria pale sijapata kuona wateja wa kike.
   
 12. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  Ulivyotusimulia leo ndivyo hivyohivyo uje utusimulie ukirudi mara nyingine na nyingine. Navyoelewa mimi wamekukaribisha na wana hakika utarudi,watakukamata tu.kama hutaki matatizo achana na mambo hayo.mwambie gf wako akufanyie huduma hiyo tena utaenjoy zaidi.
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,443
  Trophy Points: 280
  Kwa wale wa Dar, mimi hupata huduma hizi pale BM Saloon Kinondoni, ila hapa ni huduma za ukweli zinazoendeshwa na wataalamu, hivyo hakuna mambo yoyote ya ajabu ajabu na bei yao ni 20,000 tuu!. Mimi hufanyiwa kila Jumamosi ila foleni huwa ndefu hivyo baada ya kuja mara ya kwanza, lazima ufanye booking kwa simu vinginevyo hupati nafasi, wako full booked!.
   
 14. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  We limbukeni kweli haya subiri lile gonjwa kama hutoacha kwenda hapo!
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hehe...ndio utandawazi huo. Hebu ni PM hayo maeneo bana manjagu wasijekwenda kupafungia kama walivyonikosesha huduma kwa wale wachina.
  Misuli imechoka hii, nahitaji full body massage.
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kwani wanasema? wao wanazo saloon zao zenye 'body' massage vile vile, lakini wanaona wakisema ukweli mzee mzima utashtuka, utakataa next time aende mwenyewe. Msasani pale...eee noma.
  Walkianzia na kusukwa na wanaume wa kikongo, sasa jamaa wanafanya na massage....
   
 17. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Duh! Hatari hiyo sasa! Kumbe wazo langu la kumsindikiza Mama Mbugua saloon mara kwa mara ni zuri eeh? Lakini miye wa mwaka 47 na mamsapu halikadhalika, sijawahi kuwa na mashaka yoyote, huwa namsindikiza kwa upendo tu.
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ukiacha hiyo ya BM kuna nyingine bomba hapa dar? Nataka kufanyiwa hiyo huduma wandugu
   
 19. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nenda hiyo hiyo BM
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ayaaa ushaitia JANABA jumapili yangu.
  Ngoja nifunge safari kuja arusha just kwa hako karaha ka dakika chache.
  Umesema amenyoa au amenyonya mpaka nywele zipi vile?

  Next time hizi meseji uwe unatutumia kwenye PM la sivyo akina preta et all wataanzisha zogo hapa
   
Loading...