hii rangi ya kijani kwa baadhi ya members ni nn?

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
nimeshindwa kuvumilia imebidi niulize maana sijui kuna nn kwa baadhi ya wanachama wenzetu wana rangi ya kijani.
jee ni njia mpya ya kuroa credit au kuna nnnnn?

au ni ombi maalum kwa wanachama hawa au kulikoni ?

kuna sehemu mwanachama alidai huenda mafisadi wameingia na kumpa rangi ya kijani.

ila mie sidhani ni hivyo sasa nnaomba nijuilishwe
 
Hawa hulipia na kusuppot JF!

Hii imeshawekwa wazi na Adm. Ni muhimu kuchangia JF to sustain it!

Je hata kama ni 5 posts- je nikilipia nitakuwa JF Premium Member?
 
ok sasa kwa nn inatumika rangi ya kijani na sio nyengine ?

logic yake ni nn?
 
Kelele za rangi ya kijani, hadi wamebadilisha...Watu bwana
Wee acha tu!
 
Back
Top Bottom