Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Owkey nimekupata
Vp unampenzi weye na je umewahi kuwaza ungekuwa single ingekuwaje?
Nilikuwa nawaza hivi ningekuwa single roho yangu isingekuwa inamuwaza nimpendae,ningekuwa single nisingewaza yupo na nani maana nisingemjua,ningekuwa single nisingeumia kutokumjulia hali kila aamkapo au akilala ,ningekuwa single sisingewaza kuzungumza chochote bila kumkwaza pengine pia nisingewaza ngono,ningekuwa single...............
Kuwa huru kuna raha yake ila mapenzi nayo yana umuhimu wake.
Hivi mapenzi ni raha au karaha?
Hivi itakuwaje unayodhani ni karaha yakawa sio?
Halafu ni kwanini ufikirie kufikiri kuhusu mtu mwingine kuwa hiki hivi ua kile vile?
Nina mke na watoto...sijawahi kuwaza hivyo
Nakushukuru daddito!!!!