Hii protokali imekaaje kwa nchi za wenzetu?

Trubetzkoy

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
298
541
Hy, Great thinkers!

Kuna jambo limekuwa likinipa kigagaziko kwa muda mrefu hali iliyonilazimu kuandika uzi humu nikiamini hii ndio sehemu pekee ninapoweza kupata majibu ya jambo hilo.

Imekuwa ni kawaida hapa Tanzania watu/viongozi wanapokuwa wanatambulishwa kabla ya kutaja jina la kiongozi huyo kama ni msomi basi sharti itajwe status yake mfano, Prof, Dk, Eng etc.

Nimekuwa nikifuatilia nchi nyingine wanapofanya utambulisho huu utaratibu wa kutaja professor fulani au Doctor fulani kwao is less concern.

SWALI: Nini kinasababisha utofauti kati yetu na nchi nyingine kunako jambo hilo?
 
Walikua wanaanza hivi, Rais Wetu Mpendwa, Muheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli yaani hapo kabudi jicho linamtoka kama mvuta kanja tena hadi amalize kulitamka utacheka
 
Ukitaka kujua fuatilia Kigwangala alivyogangamaza mishipa kupinga Mwaka kuitwa tu "Dokta"!Ni wapuuzi hao.Na kuna lingine.Wale jamaa wanaitwa "Maafisa WATENDAJI" (wa kata, MITÀA au whatsoever)kuna wapuuzi walikaa na kuona wakiitwa "maafisa" watanenepa.Wakatoa tamko waitwe "WATENDAJI" tu..Achana nao.
 
Ukitaka kujua fuatilia Kigwangala alivyogangamaza mishipa kupinga Mwaka kuitwa tu "Dokta"!Ni wapuuzi hao.Na kuna lingine.Wale jamaa wanaitwa "Maafisa WATENDAJI" (wa kata,MITÀA au whatsoever)kuna wapuuzi walikaa na kuona wakiitwa "maafisa" watanenepa.Wakatoa tamko waitwe "WATENDAJI" tu..Achana nao.
Ok kwa hiyo Kuna kikao kiliketi kikaja na maazimio kwamba viongozi watakuwa wanatambulishwa kwa utaratibu huo?
 
Ukitaka kujua fuatilia Kigwangala alivyogangamaza mishipa kupinga Mwaka kuitwa tu "Dokta"!Ni wapuuzi hao.Na kuna lingine.Wale jamaa wanaitwa "Maafisa WATENDAJI" (wa kata,MITÀA au whatsoever)kuna wapuuzi walikaa na kuona wakiitwa "maafisa" watanenepa.Wakatoa tamko waitwe "WATENDAJI" tu..Achana nao.
😂😂😂😂
AFISA ni Cheo mkuu.
Mtumishi anayekidhi kuitwa Afisa; sharti awe na SHAHADA YA KWANZA na kuendelea. Hao watendaji wengi wao wana STASHAHADA na ASTASHAHADA mkuu Kuwaita Afisa Mtendaji ilikuwa mazoea tu. Stori za kuambiwa lkn🙌
 
Look here,fella,ni kamotisha tu kumuita mtu "ofisa" afisa"!Haikufanyi weye mwenye madegree kukupinguzia kitu.Hapokei hela.Hata ma-constables wa polisi huitwa maafisa ili kuwapa ari ya kazi tu. 😝😝😝😝😝
 
Back
Top Bottom