Hii promo anayoipata Dr. Tulia katika ziara ya Rais Magufuli mkoani Mbeya hakika huyu ndiye Spika wa bunge ajaye

Hilo liko wazi na hata Nduu kashaona dalili ndio maana kiti kinapwaya kwa kupanic!
 
Tulia na Bonna Kaluwa hawa tayari ndowa zao chali.
Tulia Atachukua Jimbo Asubuhi sana
IMG-20190426-WA0007.jpg
 
KUNA NJIA MBILI AMBAZO TANZANIA ITAINGIA VITANI, YA KWANZA NI AKATI TULIA ATAKAPO TANGAZWA KUWA MBUNGE KWA LAZIMA LAZIMA VIFARU VITAINGIA BARABARANI KABLA HAIJA POA AKISHAAPISHWA KUWA SPIKA MWAKA HAUTAISHA LAZIMA NGUMI ZITALIKA NA HUO NDIYO UTAKUWA MWANZO WA TZ MPYA NA KWA MARA YA KWANZA TUTASHUHUDIA VIONGOZI WALIOPO WAKIKWANYULIWA MAKOFI NA KERBU HADHARANI NA WATZ WENYE HASIRA, HUHU DADA TUMUONE WA KAWAIDA SASA LAKINI ATAJIDHIHIRISHA ALIVYO NA ROHO MBAYA KULIKO SHETANI MUDA SI MREFU NA NI MOJA KATI YA VIONGOZI WANAOIFANYA SERIKALI HII IONEKANE IMEPAKAA MATOPE
 
Tafakuri yangu
  1. Kwani ni lazima Spika awe mbunge? Nakumbuka uchaguzi uliopita wa spika walikaribishwa wagombea ambao hawakuwa wabunge. Waliogombea nafasi ya uspika mwaka 2015 Novemba ni Job Yustino Ndugai (CCM),Goodluck Ole Medeye (CHADEMA), Peter Sarungi(AFP),Hassan Halmas (N.R.A), Dkt Godfrey Malisa (CCK), Richard Lyimo (T.L.P),Hashimu Rungwe (CHAUMA) na Robert Kisinini (DP). Katika wote hao mbunge ni Ndugai pekee. Kwa hiyo, kama CCM inamtaka Tulia awe Spika, inaweza kumpa uspika hata kama siyo mbunge.
  2. Tumeshamsikia mkulu akisema na kutoa mfano kwa kutaja jina la Ludovick Mwananzila, kwamba alijipeleka kugombea ubunge lakini akashindwa, na mkulu kwa tathmini yake alishamuona kuwa ana tamaa hafai hata ukatibu tarafa, kwahiyo akapotea (naamini alimaanisha akapotea kwenye ulingo wa siasa). Hao wanaojaribu huko Kyela na kwingineko wajitathmini kwanza, wasije nao wakapotea!
  3. Mwisho, nafasi pekee ya kuteuliwa na rais ambayo katiba imetamka kuwa mteuliwa ni lazima awe mbunge wa jimbo ni nafasi ya Waziri Mkuu.
 
Nipo nafuatilia mkutano mfupi wa Rais Magufuli na wananchi wa Uyole jijini Mbeya.

Hakika huyu Dr Tulia ndiye Spika ajaye wa bunge la JMT maana sisi wenye macho hatuambiwi tazama.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Yaani wewe una maana kuwa TBC ndo wametangaza kuwa Tulia ndo Spika Ajaye?
 
K
wahiyo kwa akili yako ndogo wakati Kibajaji anamuangusha Mzee Maleceka ni nani alikuwa na nguvu kwenye hiyo kamati kuu?
Hahahaa...... Unazungumzia CC ya Mkapa?...hii CC ya CCM mpya wajumbe ni 20 tu haina rembaremba kipaumbele ni wagombea wenye uwezo wa kupita bila kupingwa kama yule wa Arumeru mashariki na huyu dogi wa Dodoma mjini!

CC ya CCM huwakuti kina Kakobe na Gwajima humo ni full siasa.
 
Dr Tulia Ackson anaandaliwa kuweka historia ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke katika jamhuri yetu.
Kumbuka alikuwa Deputy Attorney General, akawa Deputy Speaker, kinachofuatia ni hicho.
 
Hivi viapo wanavyoapa cjui vina nguvu wapi! Maana wanaapa KUILINDA na KUITETEA katiba! Lkn mambo wayafanyayo ambayo ni kinyume na katiba SIONI WANADHURIKAJE!
 
Hivi how on earth mtu unaacha kufanya biashara zako za kipato unaenda kugombea Ubunge au kua mwanasiasa wa vyama or some shit like that?

Kila la heri aisee!

Tumetofautiana sana!
 
Mbeya ipi? Ya ilala au ile ambayo Sugu ndio Rais?

Huyo Tulia hata kura za maoni tu za ccm anapigwa chini labda asubiri tena kuteuliwa.

Halafu nawachukia sana wanawake wanaovunja ndoa zao kwa ajili ya tamaa ya vyeo kama huyu Tulia wakati ni msomi mzuri tu wa kufanya proffesional jobs, wasomi wetu wanasikitisha.
Hilo neno lenye maandishi makubwa meusi lina maana gani?
 
Back
Top Bottom