Hii Post ya Khalid Aucho Ina Maana Gani?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Baada ya kuwasili uwanja wa taifa wa jijini Dar es salaam. Mjuba alizuiwa na waandishi waliojitambulisha kuwa ni wa habari. Na mara moja wakaanza kumuuliza kuhusu tetesi za kujiunga simba kama ziko katika mpango wake.

Aucho akawapa jawabu na akaenda zake.

Baada ya lisaa baadae akaingia twitter na kupost hii picha ambayo mimi binafsi aijui inamaanisha nini.

20211124_142300.jpg

Kwa wanaojua kutafsiri ujumbe wa picha tafadhali watusaidie hasa pale kwenye emoji ya pili kutoka mwisho.
 
Jamaa anajaribu kufikisha ujumbe kwa code

Tafsiri ya hiyo caption ni kwamba kwa yeye kutosema chochote kwa waandishi wa habari msimchukulie kwamba ni boya. Hiyo ni alarm ambayo inawatahadharisha muwe makini

Na msione kama kapotezea ila anawasitiri tu kuwafichia aibu, na msipomlipa mshahara wake hiyo jezi aliyoishika itakuja kuaibika
 
Uko vizuri sana kwenye kutafsiri lugha ya picha
 
Jamaa anajaribu kufikisha ujumbe kwa code

Tafsiri ya hiyo caption ni kwamba kwa yeye kutosema chochote kwa waandishi wa habari msimchukulie kwamba ni boya. Hiyo ni alarm ambayo inawatahadharisha muwe makini

Na msione kama kapotezea ila anawasitiri tu kuwafichia aibu, na msipomlipa mshahara wake hiyo jezi aliyoishika itakuja kuaibika
Yaani kama tafsiri nyingine ya AKILI ni MAFANIKIO basi wewe mkuu huna mafanikio kabisa!
 
Jamaa anajaribu kufikisha ujumbe kwa code

Tafsiri ya hiyo caption ni kwamba kwa yeye kutosema chochote kwa waandishi wa habari msimchukulie kwamba ni boya. Hiyo ni alarm ambayo inawatahadharisha muwe makini

Na msione kama kapotezea ila anawasitiri tu kuwafichia aibu, na msipomlipa mshahara wake hiyo jezi aliyoishika itakuja kuaibika
Hivi wewe inakuingikia akilini gsm watoe 2.1 bilioni kwa tff na wadhindwe kumpa khalid aucho mshahara?
Hivi unajua gsm wamevunha mkataba wa chama kwa 1 bilion?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ni kwamba zile kopa za kijani na njano (yanga), huwezi kulinganisha na Allah. Kwamba kwake yeye aucho anamtanguliza Allah kuliko klabu ya yanga.
Kwamba yanga waangalie vzr wamalizane nae vzr kadiri ya mkataba wake walivokubaliana ikiwemo bonus zake endapoatapafomu.
Ile imoji ya kushika mdomo kwa kidole ni ishara haongei isipokuwa wasubiri reaction.
Ile imoji ya mwisho anatega simba je wapo tayari kuitumia fursa kama ya morison?
NB; KUMBUKA MAPENZI YA AUCHO YAPO MSIMBAZI NI VILE TU ALIDANGANYWA HASINGEANZA MBELE YA CHAMA/LWANGA/MKUDE.
Kalagabao
 
Jamaa anajaribu kufikisha ujumbe kwa code

Tafsiri ya hiyo caption ni kwamba kwa yeye kutosema chochote kwa waandishi wa habari msimchukulie kwamba ni boya. Hiyo ni alarm ambayo inawatahadharisha muwe makini

Na msione kama kapotezea ila anawasitiri tu kuwafichia aibu, na msipomlipa mshahara wake hiyo jezi aliyoishika itakuja kuaibika
Yani umeingia kwenye ubongo wa aucho na kuanza kumuwakilisha,dah
 
Ni kwamba zile kopa za kijani na njano (yanga), huwezi kulinganisha na Allah. Kwamba kwake yeye aucho anamtanguliza Allah kuliko klabu ya yanga.
Kwamba yanga waangalie vzr wamalizane nae vzr kadiri ya mkataba wake walivokubaliana ikiwemo bonus zake endapoatapafomu.
Ile imoji ya kushika mdomo kwa kidole ni ishara haongei isipokuwa wasubiri reaction.
Ile imoji ya mwisho anatega simba je wapo tayari kuitumia fursa kama ya morison?
NB; KUMBUKA MAPENZI YA AUCHO YAPO MSIMBAZI NI VILE TU ALIDANGANYWA HASINGEANZA MBELE YA CHAMA/LWANGA/MKUDE.
Kalagabao
Hivi dalili za ulemavu wa akili zipoje?
 
kuna emoji hii 🟩 na 🟨 lkn jamaa akachagua hii na bado unatuambia ana mapenzi na Simba?

....
 
Back
Top Bottom