Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 462
- 263
Habari zenu wakuu,nina Piki piki aina ya Boxer wiki iliyopita ilishindwa kabisa kupiga starter Fundi akaniambia Battery imekufa.Nikaingia Kariakoo nikanunua Battery imeandikwa VBT ikawa imepona lile tatizo inapiga starter kama kawaida.Cha ajabu baada ya kama siku 4 hivi na hii inasumbua kupiga starter hadi kiki,je tatizo ni Battery niliuziwa kimeo au Piki piki itakuwa na shida?maana wasi wasi wangu Battery ya kichina.