Hii picha ya Hayati Magufuli na Mama Janeth imeniumiza na kunitafakarisha sana

Hata tukiujua ukweli haitosaidia mana hazina ya taifa imeshaondoka, wamebaki Watz wachache wanaoendekeza siasa wakishangilia japo mda utafika wataelewa walikuwa wapumbavu kiasi gani, mana unakuta mtu anamchukia Magu kisa hajaongeza shilingi elfu 50 kwenye kamshahara kake anasahau kwamba mwamba alikuwa anapigania aje kupata mara 100 ya hiyo elfu 50.

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣
Kwamba Magufuli alikuwa anapambaniia wafanyakazi waje wapate mara 100 ya mishahara yao..hahahahah

Yaani kashindwa kuongeza ata sent tano ndani ya miaka 6 ndo aje awaongezee mara 100 ndani ya miaka minne iliyokuwa imebaki 🤣🤣🤣

Kweli mlikuwa mko brainwashed...kijana unasikitisha sana kama uliyoyaandika hapa unayamaanisha kweli. Daah
 
Kwamba Magufuli alikuwa anapambaniia wafanyakazi waje wapate mara 100 ya mishahara yao..hahahahah

Yaani kashindwa kuongeza ata sent tano ndani ya miaka 6 ndo aje awaongezee mara 100 ndani ya miaka minne iliyokuwa imebaki

Kweli mlikuwa mko brainwashed...kijana unasikitisha sana kama uliyoyaandika hapa unayamaanisha kweli. Daah
Vijana kama hao ma boot lickers ni hasara tupu kwa taifa mkuu.Hata aibu hayanaga mzee.
 
Hata tukiujua ukweli haitosaidia mana hazina ya taifa imeshaondoka, wamebaki Watz wachache wanaoendekeza siasa wakishangilia japo mda utafika wataelewa walikuwa wapumbavu kiasi gani, mana unakuta mtu anamchukia Magu kisa hajaongeza shilingi elfu 50 kwenye kamshahara kake anasahau kwamba mwamba alikuwa anapigania aje kupata mara 100 ya hiyo elfu 50.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kujiona una akili ya utambuzi kuliko wengine kumbe wengine nao wanakuona hivyo hivyo,waliokaa chini na kutunga hizo sheria za nyongeza za mishahara kwa wafanyakazi hawakuwa wajinga kila kitu duniani ni calculated.

Bahati yake Magufuli amewapata Wa Tanzania na wafanya kazi karibu wote hawajui haki zao.
 
Kwamba Magufuli alikuwa anapambaniia wafanyakazi waje wapate mara 100 ya mishahara yao..hahahahah

Yaani kashindwa kuongeza ata sent tano ndani ya miaka 6 ndo aje awaongezee mara 100 ndani ya miaka minne iliyokuwa imebaki

Kweli mlikuwa mko brainwashed...kijana unasikitisha sana kama uliyoyaandika hapa unayamaanisha kweli. Daah
Wewe ni mgumu sana kuelewa, ss hapo kipi ambacho hakieleweki? Ndiyo maana tunaitwa manyani kwasababu ya waafrika dizain yako, muwavivu mno kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana kama hao ma boot lickers ni hasara tupu kwa taifa mkuu.Hata aibu hayanaga mzee.
Inasikitisha sana kuona kijana ana ulewa mdogo na akili fupi kiasi hiki. Hawezi kuproject mambo, hawezi kutathmini vitu, hana analysis ya vitu hajui takwimu, historia ya nchi yake ni zero kabisa...

Kweli kwa mwenendo uliokuwepo kuna mtu anaweza sema kwama JPM alikua na mpango wa kuwaongezea wafanyakazi mshahara x100 ya current salary.

Kama sio upunguani ni nini.
 
Wewe ni mgumu sana kuelewa, ss hapo kipi ambacho hakieleweki? Ndiyo maana tunaitwa manyani kwasababu ya waafrika dizain yako, muwavivu mno kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaitwa manyani sababu Mwaka jana mlitangaza ATCL kupata faida ya bil 28 na leo report ya CAG inasema tumepata hasara kwa miaka 5 mfululizo.

Hakika sisi ni manyani haswaaa.
 
😂😂😂Wabongo tunapenda kulazimisha huruma kisa msiba.

Tuache unafiki, kuna watu humu walivyokua wana mu attack Marehemu leo hii wanachoandika ni mbingu na ardhi,
Sasa hii itamsaidia nini? Kifo sio tatizo, kama mtu alizingua kifo hakimpi immunity,

Binafsi nilimkubali kwenye Ufisadi na uchapakazi tuuh...

Ila tukianza tuu na Democrasia kila mtu anajua hili unless ujipumbaze akili tuuh ili kubisha.
 
Toa maelezo ya kutosha tuone kama tutakupa pole hau ushauri, hiyo picha una uhusiano gani nayo. wewe ndiye huyo mama? Wewe ndiye uliipiga na kabla ujalipwa mzee kaenda na deni lako la picha? Hau imekuuma mzee kushikana mikono na mama.
Kwa uandishi wako huu bila shaka we ni nshomile w katelero
 
Back
Top Bottom