Hii picha ya Halima Mdee unaitafsiri vipi?

Hahahahha kwangu huwaga namkubali sana huyu mama

Nadhani alikuwa akifanya hivyo huku akijua dhahiri kuwa jamii inamwona, hatujui aidha ni moyo au show off

kumbuka mwendazake ndiye aliyetengeneza mchongo wa bidada kurejea mjengoni
Na pia ni yeye aliemnyang'anya kwa kuruhusu uchafuzi badala ya uchaguzi!
 
Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..

Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
Huyu ndugu kaiweka njia panda sana nchi. Mama Samia anatamani vitu kadhaa vibadilike lakini wakati huo huo anaogopa kuonekana kama anamkosoa mtangulizi wake na kuwaudhi ndugu zangu na washikaji zake akina Lusinde, Msukuma, Job, n.k. Kwa kweli ameiweka nchi kwenye mtanziko mkubwa. Mama Samia hana raha kabisa. Kambi ya Mwendazake imeanza kuwatuhumu baadhi ya viongozi wa awamu hii ya Samia kwamba walimpa sumu jamaa yao huyu. Kwa kweli tunapaswa kuwa makini sana na tunayempa aiongoze nchi.

Wabunge karibu wote wanajua kwamba walipata ubunge kwa msaada wa Jiwe kwa njia moja ama nyingine.
 
Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..

Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
Siasa sio chuki. Chuki mnazo nyie washabiki..
Wanasiasa hawaeleweki..mchana wanatukanana usiku wanakunywa kahawa pamoja, na muda wowote wanaungana kwaajili ya maslahi yao binafsi.
 
Msimpangie amubusu nani. hata yeye anahisia kama wana wake wengine
Mnaoea wivu hadi marehemu, Nendeni kwa Mpalange wapo
 
Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..

Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
Halima, kashaondoka huyo, Cha msingi kwako ni huo ubunge wako unategemea hisani ya Mama Samia - Maana wewe na mwendazake mkishirikiana na Spika mmevunja KATIBA ya nchi - msifikiri tumesahau kikao chenu cha usiku pale Dodoma kupapnga njama ili mfanye usaliti.
 
Back
Top Bottom