Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Picha hii imewekwa kwenye akaunti yao ya Twitter huku wakiweka caption isomekayo Sauti Sol Family.

Maswali yameibuka kuwa mbon akuna Mwanaume na Mwanaume je nao ni wapenzi kama hao wa jinsia tofauti?

Kwa muda mrefu zimekuwepo taarifa za mmoja wa wanakikundi hiki cha muziki kutoka Kenya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Bwabwa hii mbaya eee.. +254 kazi kwenu...
 
Safiri hii wafadhili wametoa mpunga mrefu sana ku promote ushoga naona hata kule Twitter kumechafukwa mnoo. Mambo kama haya ni yakupigwa vita katika jamii yetu hivi tunaenda wapi jaman baada ya miaka 10 hiki kizazi chetu kitakuaje
 
Back
Top Bottom