Hii Picha unaitafsiri vipi? Toa maoni yako huru bila mihemko..

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,968
14,714
Hii picha ili post'wa kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook ikiwa kwenye ukurasa wa JamiiForums, lakini kutokana na maona ya wachangiaji karibia wote waliwaza negative kuhusu hii picha.. Je ni kweli kuna mchezo uliokuwa ukiendelea kati ya huyu mwanaume na huyu mwanamke?
62511505_2460201824043797_5109988875728584704_o.jpg

Image by JF
 
Wa vijijini tuu ndio tumepitia hii stage maishani na ni tamu balaa.

Wale wa mjini msicomment humu.
 
Nadhani mdada kaokolewa alitaka kuliwa na mnyama mkali! Alisha galagazwa chali!! Huyo jamaa ndio kamuokoa.
Nadhani atajitokeza hadharani kutueleza mkasa mzima ulikuaje.
 
Hii picha ili post'wa kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook ikiwa kwenye ukurasa wa JamiiForums, lakini kutokana na maona ya wachangiaji karibia wote waliwaza negative kuhusu hii picha.. Je ni kweli kuna mchezo uliokuwa ukiendelea kati ya huyu mwanaume na huyu mwanamke?
62511505_2460201824043797_5109988875728584704_o.jpg

Image by JF
Maana yake ni kifo cha mende
 
Back
Top Bottom