Hii picha ni ya kiongozi gani mkubwa hapa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii picha ni ya kiongozi gani mkubwa hapa Tanzania?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Chenge, Oct 23, 2012.

 1. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Una utani na serekeli
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kama photo shop vile
   
 4. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  chenge wewe unadhani hii picha ni ya kiongozi gani mkubwa?
   
 5. Ndaki

  Ndaki Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: May 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  History is a good reflection of our humanity! life profile is a complex circle.........................!
   
 6. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  JK Rais wako wa Tanzania. Rais Makini
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mbona anaonekana DHAIFU
   
 8. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kweli watu tunatoka mbali tena tukiwa dhalili wa kusaidiwa lakini Mungu akitukumbuka tunajisahau na kuwa jeuri,tuombe Mungu atusamehe hatujui tutendayo.
  Hapa ofisini kwetu kuna kijana aliajiriwa alianza kama intern asubuhi alikuwa anakuja anaanza kazi mnyonge nikawa namuuliza vipi akaniambia akila chakula hapa kazini mchana ndio mpaka kesho yake mchana hapa kazini tena. Ikifika week end ndio anakuwa na mawazo mara dufu atakula wapi na kipato ni kdogo sana.
  Tulikuwa tunamfanyia hisani ya pesa ya vitafunio na wakati mwingine tunamuongezea share zetu za chakula lakini baada ya kupata ajira ya kudumu imekuwa tabu tupu.Anatusumbua na kacheo alikopewa na anawasumbua sana intern wenzie wanakuja hapa, huwa namuangalia sipati jibu.
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  I take this as fluff.

  Hiyo floor naiona mara ya pili hapa katika siku mbili, poengine tena katika ukumbi wa mkutano wa UWT Dodoma.

  Makes you wonder for those in the know :) Hawajaanza leo.
   
 10. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mmmh kumbe alikuwa bonge la sharo....
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Alikua na bonge la mdungo chini sijui kumuachia miraji au khalfan au mokoriz.
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  The travellerrrr!!!!!!!!!!
   
 13. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,582
  Likes Received: 1,943
  Trophy Points: 280
  Kitu ambacho JK hajabadilika ni jinsi anavyoiposition mikono yake kwenye pause za picha.
   
 14. A2 P

  A2 P Senior Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunatoka mbali sanaa
   
 15. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,180
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi historia inaturudisha tena kwa ukali kule tulikotoka! Ni yeye Mungu huinua na kushusha ili tumtukuze!
   
 17. k

  kisilo Senior Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haswaaaaaa!...
   
 18. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  teh JK katoka mbali sana aisee
  babbaa.jpg
   
 19. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hizi picha (siri za serikali) mnazipata wapi wajameni?
   
 20. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Dhaifu!
   
Loading...