Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Mbona ni sawa kabisa. Kwani ni nani ambae akiwa mapumzikoni baada ya kazi anavaa nguo za kazi. In europe-kazini, in Africa- Likizo
Sijaelewa hapo kwenye red una maana gani mkuu, maana wakati wewe unatukana mwenzako anaingiza helaHujacelewa picha wewe! Maofisa wengi toka Africa wakifika Ulaya either kwa masomo au short huwa wanafanya kazi za kubeba box (kuosha wazee, kuhudumia migahawa, manual work za kuchuma apples, kufagia barabara nk......). Nyumbani ni watu wazito sana!
Nimewahi kukutana na Dr PHD anafanya kazi ya waiter kwenye ki mgahawa kidogo kabisa kavaa apron pumbafuuuuu kabisa
Hujacelewa picha wewe! Maofisa wengi toka Africa wakifika Ulaya either kwa masomo au short huwa wanafanya kazi za kubeba box (kuosha wazee, kuhudumia migahawa, manual work za kuchuma apples, kufagia barabara nk......). Nyumbani ni watu wazito sana!
Nimewahi kukutana na Dr PHD anafanya kazi ya waiter kwenye ki mgahawa kidogo kabisa kavaa apron pumbafuuuuu kabisa
Suala sio pesa! Serikali imekugharimikia miaka zaidi ya 10 umesoma mpaka ngazi ya uzamivu badala ya kurudi usaidie nchi tujikwamue unaserve wateja chips kuku???Sijaelewa hapo kwenye red una maana gani mkuu, maana wakati wewe unatukana mwenzako anaingiza hela
Hujacelewa picha wewe! Maofisa wengi toka Africa wakifika Ulaya either kwa masomo au short huwa wanafanya kazi za kubeba box (kuosha wazee, kuhudumia migahawa, manual work za kuchuma apples, kufagia barabara nk......). Nyumbani ni watu wazito sana!
Nimewahi kukutana na Dr PHD anafanya kazi ya waiter kwenye ki mgahawa kidogo kabisa kavaa apron pumbafuuuuu kabisa
Suala sio pesa! Serikali imekugharimikia miaka zaidi ya 10 umesoma mpaka ngazi ya uzamivu badala ya kurudi usaidie nchi tujikwamue unaserve wateja chips kuku???
Huo ni ufinyu wa mawazo, na ni binafsi
Suala sio pesa! Serikali imekugharimikia miaka zaidi ya 10 umesoma mpaka ngazi ya uzamivu badala ya kurudi usaidie nchi tujikwamue unaserve wateja chips kuku???
Huo ni ufinyu wa mawazo, na ni binafsi
Mimi nilizani utajifunza kutoka kwao kumbe unawatukana? Mtumikie Kafiri upate mtaji wako. Wangefanya nini ikiwa gharama za maisha huko Ulaya ziko juu, Nyumbani wameacha familia na lazima watume ada za watoto.
Zingatia hili:
Unapopanga mipango yako na ukiwa katika harakati za kuikamilisha, hakikisha unapambana na kila kikwazo kwa namna yoyote ile iliyo njema kitachotishia wewe kutokufikia malengo.
mimi nadhani huwa wanafanya hivyo ili tatizo la kiuchumi lisikwamishe malengo yao ya kusoma. Over
Hujacelewa picha wewe! Maofisa wengi toka Africa wakifika Ulaya either kwa masomo au short huwa wanafanya kazi za kubeba box (kuosha wazee, kuhudumia migahawa, manual work za kuchuma apples, kufagia barabara nk......). Nyumbani ni watu wazito sana!
Nimewahi kukutana na Dr PHD anafanya kazi ya waiter kwenye ki mgahawa kidogo kabisa kavaa apron pumbafuuuuu kabisa
Unaweza kuniambia wewe mzalendo kwa nini Drs. wengi wanatimkia Botswana?Ngoja nikusaidie,ni dharau inaonyeshwa na viongozi wetu, kutokuthamini wasomi.Hakuna anaesoma ili ateseke.Nina imani huyo muuza chips ulaya, kipato chake kwa mwezi ni kikubwa sana kulinganisha na mishahara uchwara iliyopo nchini kwetu
Ni kawaida kwa muafrika kupata kazi ya maana ulaya ni ngumu kwa sababu kwanza kielimu wametuzidi sana japo mnaweza kuwa kwenye level moja ya elimu lakini kiuwezo mtatofautiana maslani mtu aliyesoma first degree africa alafu akaenda europe kufanya masters hawezi kulingana kiuwezo na mtu ambaye hata ni form six kwa kule. Kwa misingi hiyo huwezi kuaminika kupewa kazi ya maana. Pia kwa kuwa ni mwanafunzi kazi nyingi unazofanya ni part time ambazo nature yake ndiyo hiyo ya kufagia, kuhudumu kwenye mahoteli, kuosha wazee na kadhalika
kuna shida gani kufanya hizo kazi kama zina lipa?
wabongo tumeendekeza sana ubatabwanyenye wakati maisha ni duni!
mnawadharau wakija huku wanasepa na wake zenu, dada zenu, nyie wenyewe mnalazimisha upambe!hahahaaaaaaaaaa!
Jamani mwenye hizo ajira hapa bongo aniPM ntafanya..najali Pesa kwani ndo utu hapa Bongo!