Hii picha na dedicate kwa watanzania wote wanaoishi ulaya na america,waongeze juhudi

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,058
2,000
852347_europe_jpg139651dca60040347cf18466178c38e4
852347_europe_jpg139651dca60040347cf18466178c38e4.jpeg 852347_europe_jpg139651dca60040347cf18466178c38e4.jpeg
 
salosalo

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
584
500
Mbona ni sawa kabisa. Kwani ni nani ambae akiwa mapumzikoni baada ya kazi anavaa nguo za kazi. In europe-kazini, in Africa- Likizo
 
Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,019

Hujacelewa picha wewe! Maofisa wengi toka Africa wakifika Ulaya either kwa masomo au short huwa wanafanya kazi za kubeba box (kuosha wazee, kuhudumia migahawa, manual work za kuchuma apples, kufagia barabara nk......). Nyumbani ni watu wazito sana!
Nimewahi kukutana na Dr PHD anafanya kazi ya waiter kwenye ki mgahawa kidogo kabisa kavaa apron pumbafuuuuu kabisa
 
BHULULU

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
4,937

Sijaelewa hapo kwenye red una maana gani mkuu, maana wakati wewe unatukana mwenzako anaingiza hela

mkuu wewe naona umenielewa aswa,na wengi najua uku wana phd wazito kabisa,wengine waalimu wa vyuo vikuu,wanakuja marekan kutembea,harafu tz wanaongopa wapo marekan kufundisha vyuo kiswahili,au mijadala ya kichumi,kumbe wanafagia barabaran na kuteremsha boksi toka kwa gari kwenye duka,najua wengi tu nikianza toa listi itakuwa soooo
 
Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,019
2,000
Sijaelewa hapo kwenye red una maana gani mkuu, maana wakati wewe unatukana mwenzako anaingiza hela
Suala sio pesa! Serikali imekugharimikia miaka zaidi ya 10 umesoma mpaka ngazi ya uzamivu badala ya kurudi usaidie nchi tujikwamue unaserve wateja chips kuku???
Huo ni ufinyu wa mawazo, na ni binafsi
 
salosalo

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
584
500
Hujacelewa picha wewe! Maofisa wengi toka Africa wakifika Ulaya either kwa masomo au short huwa wanafanya kazi za kubeba box (kuosha wazee, kuhudumia migahawa, manual work za kuchuma apples, kufagia barabara nk......). Nyumbani ni watu wazito sana!
Nimewahi kukutana na Dr PHD anafanya kazi ya waiter kwenye ki mgahawa kidogo kabisa kavaa apron pumbafuuuuu kabisa

Mimi nilizani utajifunza kutoka kwao kumbe unawatukana? Mtumikie Kafiri upate mtaji wako. Wangefanya nini ikiwa gharama za maisha huko Ulaya ziko juu, Nyumbani wameacha familia na lazima watume ada za watoto.

Zingatia hili:
Unapopanga mipango yako na ukiwa katika harakati za kuikamilisha, hakikisha unapambana na kila kikwazo kwa namna yoyote ile iliyo njema kitachotishia wewe kutokufikia malengo.

mimi nadhani huwa wanafanya hivyo ili tatizo la kiuchumi lisikwamishe malengo yao ya kusoma. Over
 
BHULULU

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
4,937
2,000
Suala sio pesa! Serikali imekugharimikia miaka zaidi ya 10 umesoma mpaka ngazi ya uzamivu badala ya kurudi usaidie nchi tujikwamue unaserve wateja chips kuku???
Huo ni ufinyu wa mawazo, na ni binafsi

Unaweza kuniambia wewe mzalendo kwa nini Drs. wengi wanatimkia Botswana?Ngoja nikusaidie,ni dharau inaonyeshwa na viongozi wetu, kutokuthamini wasomi.Hakuna anaesoma ili ateseke.Nina imani huyo muuza chips ulaya, kipato chake kwa mwezi ni kikubwa sana kulinganisha na mishahara uchwara iliyopo nchini kwetu
 
kasuku1

Senior Member
Oct 19, 2012
125
195
Ni kawaida kwa muafrika kupata kazi ya maana ulaya ni ngumu kwa sababu kwanza kielimu wametuzidi sana japo mnaweza kuwa kwenye level moja ya elimu lakini kiuwezo mtatofautiana maslani mtu aliyesoma first degree africa alafu akaenda europe kufanya masters hawezi kulingana kiuwezo na mtu ambaye hata ni form six kwa kule. Kwa misingi hiyo huwezi kuaminika kupewa kazi ya maana. Pia kwa kuwa ni mwanafunzi kazi nyingi unazofanya ni part time ambazo nature yake ndiyo hiyo ya kufagia, kuhudumu kwenye mahoteli, kuosha wazee na kadhalika
 
Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,019
2,000
Mimi nilizani utajifunza kutoka kwao kumbe unawatukana? Mtumikie Kafiri upate mtaji wako. Wangefanya nini ikiwa gharama za maisha huko Ulaya ziko juu, Nyumbani wameacha familia na lazima watume ada za watoto.

Zingatia hili:
Unapopanga mipango yako na ukiwa katika harakati za kuikamilisha, hakikisha unapambana na kila kikwazo kwa namna yoyote ile iliyo njema kitachotishia wewe kutokufikia malengo.

mimi nadhani huwa wanafanya hivyo ili tatizo la kiuchumi lisikwamishe malengo yao ya kusoma. Over

I hate feeble minded people! PhD Dr unauza chips kisingizio mshahara mdogo! Wewe ndio dictator of ur mshahara!
Huyu jamaa alikuwa ameshamaliza shule na amekataa kurudi kwa kisingizio eti ana make money hivi pale kwenye mgahawa alikuwa anamake kiasi gani? Ikizidi sana ni euro 1500 kwa mwezi!!!!
 
Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,239
1,225
kuna shida gani kufanya hizo kazi kama zina lipa?
wabongo tumeendekeza sana ubatabwanyenye wakati maisha ni duni!
mnawadharau wakija huku wanasepa na wake zenu, dada zenu, nyie wenyewe mnalazimisha upambe!hahahaaaaaaaaaa!

Jamani mwenye hizo ajira hapa bongo aniPM ntafanya..najali Pesa kwani ndo utu hapa Bongo!

Hujacelewa picha wewe! Maofisa wengi toka Africa wakifika Ulaya either kwa masomo au short huwa wanafanya kazi za kubeba box (kuosha wazee, kuhudumia migahawa, manual work za kuchuma apples, kufagia barabara nk......). Nyumbani ni watu wazito sana!
Nimewahi kukutana na Dr PHD anafanya kazi ya waiter kwenye ki mgahawa kidogo kabisa kavaa apron pumbafuuuuu kabisa
 
Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,019
2,000
Unaweza kuniambia wewe mzalendo kwa nini Drs. wengi wanatimkia Botswana?Ngoja nikusaidie,ni dharau inaonyeshwa na viongozi wetu, kutokuthamini wasomi.Hakuna anaesoma ili ateseke.Nina imani huyo muuza chips ulaya, kipato chake kwa mwezi ni kikubwa sana kulinganisha na mishahara uchwara iliyopo nchini kwetu

Bora Dr anayeenda Botswana kutibu wagonjwa kwa kazi aliyosomea kuliko huyu anayeosha sufuria ulaya na utaalamu wake kaukalia
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,058
2,000
Ni kawaida kwa muafrika kupata kazi ya maana ulaya ni ngumu kwa sababu kwanza kielimu wametuzidi sana japo mnaweza kuwa kwenye level moja ya elimu lakini kiuwezo mtatofautiana maslani mtu aliyesoma first degree africa alafu akaenda europe kufanya masters hawezi kulingana kiuwezo na mtu ambaye hata ni form six kwa kule. Kwa misingi hiyo huwezi kuaminika kupewa kazi ya maana. Pia kwa kuwa ni mwanafunzi kazi nyingi unazofanya ni part time ambazo nature yake ndiyo hiyo ya kufagia, kuhudumu kwenye mahoteli, kuosha wazee na kadhalika

kama marekan ukiwa umetoka tanzania uwezi pata kazi ya maana,utaambiwa usome kwanza vikoz fulani fulan,so na muda unaenda,hivo kazi unazo weza pata haraka ndio kama hizo,wanaofaidi marekan ni manesi,manesi ndio wanaoenjoy,wakifika wanasoma tena kidogo harafu wanapiga kazi kwa mshahara mnono,na wanapata permanent resident,lakin sisi tuliosoma mambo za business tunaingia kwa mtaa
 
Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,019
2,000
kuna shida gani kufanya hizo kazi kama zina lipa?
wabongo tumeendekeza sana ubatabwanyenye wakati maisha ni duni!
mnawadharau wakija huku wanasepa na wake zenu, dada zenu, nyie wenyewe mnalazimisha upambe!hahahaaaaaaaaaa!

Jamani mwenye hizo ajira hapa bongo aniPM ntafanya..najali Pesa kwani ndo utu hapa Bongo!

Suala sio kazi ya kuhudumia wateja kwenye mgahawa, Suala ni nani anafanya! Umeenda kusoma ulaya umemaliza shule hutaki kurudi kwenu eti kwa sababu unafanya kazi ya waiter a trained Dk wa philosofia! Hiyo iko bongo tu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom