Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,657
- 22,254
Hii ilikuwa Dodoma, hapo walioshiriki wanafahamika lakini hakuna hatia zozote zilizochukuliwa, ukiiangalia picha vizuri utamuona mwanasimba maarufu kati yao. Wangekuwa Chadema wote wangekamatwa na chama kufutwa.Niseme ukweli. Kila inapotikea nikatizama hii picha moyo wangu unapata ganzi, unapata kifafa na kupoteza midundo yake ya kawaida. Mwishowe naona kama moyo unapodunda kwa kutanuka unaenda choma kitu chenye ncha kali hivyo najaribu kupumua kwa kubana pumzi ili nisiuruhusu ukaguse kitu hicho chenye ncha kali.
Huyu kijana wa CDM katika picha. Ni nini ilikuwa hatma ya maisha yake siku hii ya tukio hili? Aliponaje? Ilikuwaje akashambuliwa na watu ambao wengine ni umri wa baba yake. Wengine ni kaka zake.
Why wampige mawe hivi kama nyoka? Mtizame yule mzee kule amebeba tofali kubwa unajiuliza hivi alikusudia nini kwa kijana huyu ambaye hajabeba hata fimbo?
Waafrika bado wana Unyani. Usibishe. Wana unyani mwingi tu sababu kwa akili za kawaida haiwezekani kufanya hivi.
View attachment 1345563