Hii picha inaonesha mfano wa jinsi CCM ilivyo hatari kwa raia tanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii picha inaonesha mfano wa jinsi CCM ilivyo hatari kwa raia tanganyika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anyisile Obheli, Dec 10, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hivi ndivyo ccm inavyowanyatia raia wanyonge waliosongwa na hali ngumu ya maisha,
  ili kuwameza na kujishibisha yenyewe na kujifaidisha tumboni mwake  CCM dhidi ya raia.jpg
   
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  joka la kibisa
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hapo hakuna tena kunyatia ila ni kumeza!
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  unaona kijani ilivyozunguka, eti ni amani, hapo kuna amani kweli?
   
 6. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  NDIO wanavyoimaliza nchi kwa kuimeza nzima nzima through IPTL,RICHMOND,DOWANS,MADINI,UBINAFSISHAJI,FOLENI ZA DAR ili wauze mafuta yao,RELI, yaani nchi ni jalala hii
   
 7. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  imegeuka rangi ya hatari kwa mali asili za taifa
   
 8. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  for the record ...... nilipita hapa
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aaaah Anyisile Obheli ndo mambo gani haya ya kuweka picha za nyoka bana? Hata kulala siwezi sasa
   
 10. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ha ha ha ha pole mkuu niwie radhi najaribu kufikisha ujumbe kwa hadhira
   
 11. M

  Medison New Member

  #11
  Dec 11, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  a rotten country, km ingekuwa kuna uezekano m2 kuhama nchi, i could do so, bora dafur kuliko CCM.....................
   
 12. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  m
  mimi na hasira sana na ndio maana nilishindwa kuishi tz na nikachapa mwendo najijua naweza fanya vitu vya hatari, any way habari zenu ndugu zangu wana jf?
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mimi nimeipa miaka hii mitano 2016 nitaingia mstuni na kundi langu la siraha kichapo kwa kwenda mbele
   
Loading...