Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,987
- 144,319
Well said. Ila vibaraka ndio kazi zao kunyenyekea na kujipendekeza.Mkuu wewe sio wao,wao sio wewe.
acha kumlinganisha Mkapa na huyo tumia akili zako wewe jinga. Jitu zima unashindwa kutumia akili. Unamlinganisha mpaka na huyo. Wamelingana kwa umri? Yaani unaweza kuonekana mkubwa lkni kichwani zudaduye.huyo jamaa kapigwa risasi 25+ kafanyiwa sijui oparesheni 30 na bado yupo hai anatembea.mkapa kaumwa siku moja tu kafariki.
Mwisho wao umefika rasmiChama Cha Mavunjavunja
Msimfanye binadamu mwenzenu kama maonesho!
Unafuta ziro, Kisha unaandika ohuyo jamaa kapigwa risasi 25+ kafanyiwa sijui oparesheni 30 na bado yupo hai anatembea.mkapa kaumwa siku moja tu kafariki.
umeandika kwa aibu sana !Msimfanye binadamu mwenzenu kama maonesho!
“It’s never easy” Tundu Lissu said it yesterday.
umeishia darasa la ngapi ?Huyo alijitakia mwenyewe kwa ujinga wake na familia yake. Mtu mwenye akili sawawa na una familia inayokutegemea huwezi fanya siasa za kijinga jinga hivyo. Ukifuata mihemko unadundwa vilivyo. Siasa ni ART wewe unaigeuza kuwa physical subject unaishia pabaya.
Huyo alijitakia mwenyewe kwa ujinga wake na familia yake. Mtu mwenye akili sawawa na una familia inayokutegemea huwezi fanya siasa za kijinga jinga hivyo. Ukifuata mihemko unadundwa vilivyo. Siasa ni ART wewe unaigeuza kuwa physical subject unaishia pabaya.
Wewe ndio unaona aibu......Mbowe naye kapigwa risasi?umeandika kwa aibu sana !
Endelea kuweweseka tu, utaweweseka sana lakini lakini habari za ikulu sahauuuu ng'oooooooooooooooooooooooooo, ng'oooooooooooooooooooooooooooUnabwabwaja tu huna point