Hii picha ina ukweli wowote kwa kinachoendelea Gaza Israel

Mark you, once upon a time western media and their leadership used to refer to Nelson Mandela and Mahtima Ghandi as seasoned terrorists - unfortunately you seem to emulate western dirty campaign to the letter kwa kuwabatiza wapigania uhuru wa Kipalestina kwamba ni ma terrorist - we mswahili unawezaje ku-support mijitu mikatiri/mikaburu type ya Wayahudi, unatafuta nini unataka Amerika ikuone wewe wa maana kwa kuunga mkono wabaguzi wa Kiyahudi, uba wajibu wa kuunga mkono watu wanao taka kujikomboa hiyo ndio hulka ya Watanzania.
Bwabwaja tu ila wayahudi ninawaelewa sana. Kazi yao nzuri. Angalia picha hiyo utaelewa nani ana akili na nani mjinga.
 
Wabongo hawasomi vitabu hlf akili zao hazifanyi kazi hata ne no gaidi hawalifahamu maana yake! Tangu haya mashambulizi yaanze juzi ulishasikia huko Israel ku na watoto wameuliwa na wapalestina? Au tunasikia kuwa watoto wa kipalestina ndo wanaendelea kuuwawa? Nani gaidi hapo? Je alieanza chokochoko ni nani? Muisrael alingia msikitini na kuwauws wapalestina 35 na wengi kujeruhiwa je sio magaidi wao? Mpalestina kulipiza kisasi ndo gaidi? Au mna nasibisha neno gaidi na dini ya mtu km mlivo eleweshwa na mabeberu? Haitajiki uwe muislamu ndo ufahamu kuwa palestina wanaonewa! Ubinadamu na utu unatosha kufahamu hilo...!!!
IMG-20210512-WA0022.jpg
 
Bwabwaja tu ila wayahudi ninawaelewa sana. Kazi yao nzuri. Angalia picha hiyo utaelewa nani ana akili na nani mjinga.
Nani ana bwabwaja? You damned silly fool huna hata ustaarabu wa ku-agree to disagree without offending anyone - wewe mswahili wa hapa bongo ndio ujifanye unawajua vizuri Wayahudi like back of your hand? Come on!!

Labda nikukumbushe kitu - ni hivi: Hata ipite miaka mingapi Wapalestina watajikomboa kutoka kwenye makucha ya ukoloni wa Kiyahudi na ubaguzi wa rangi - kama wewe hilo ulioni pole sana endelea na harakati zako za kutetea ukaburu wa Wayahudi - lakini kumbuka kwamba you can't defeat a determined freedom fighter your sophisticated harms/weapons notwithstanding hayo tumeyashudia huko VietNam, Afrika Kusini na sasa Afghanistan licha ya Jeshi la USA na Makaburu wa Afrika Kusini kumiliki silaha za maangamizi (WMD) mwisho wa siku walijikuta wana shindwa vita na wana mgambo na wapigania uhuru - hicho ndicho kitakuja kuwakuta Wayahundi siku za usoni watajikuta hawana nchi kama ilivyo kuwa kabla ya mwaka 1948.
 
wachapane weee kisha badae watahishimiana.

ila hamasi wamepigika! nao sas zamu yao kujibu mapigo ya kiutu uzima

kinacho waumiza wapalestina ni UNAFIKI WA NCHI ZA KIARABU.
 
Acheni propaganda zenu zisizo kuwa na kichwa wala miguu, jifunzeni historia ya kweli kuhusu mashariki ya kati specifically Eneo lililokuwa linajulikana kama Palestina chini ya ukoloni wa Uingereza.

Sasa kwa taarifa yako hakuna Taifa lililo kuwa linajulikana kwa jina la Israel kabla ya mwaka 1949 likumbuke sana hilo - Israel ilizaliwa baada ya Umoja wa Mataifa ku-annex eneo dogo la nchi ya Palestina na kuwapatia Wayahudi waliikuwa wamezagaa Dunia nzima, si wote walio kubali kuja Israel kuishi. Sasa nini kilitokea baada ya Wayahudi kupewa nchi, walianzisha udhalimu na ukatiri wao wa asili wa kuwaua Waarabu, kuwahamisha kinguvu Waarabu kutoka kwenye maeneo yao ya asili - waarabu wakawa wakimbizi kwa kuhama nchini mwao kwenda kuishi uhamishoni (kambi ya wakimbikizi) - Wayahudi wakaendeleza ubabe wao wa kujenga makazi kwenye maeneo ya Waarabu na kujipanua as if waarabu do not matter!!! Wanafanya ushenzi huu wa kikaburu huku wakikingiwa kifua na Serikali ya Kimerikani miaka nenda rudi.

Chukulia mgogoro/vita inayo endelea hivi sasa baina ya Hamasi na Wayahudi - nani ka-instigate vita hii kama siyo Wayahudi wenyewe na ujeuri wao - walitaka kuwahamisha waarabu kutoka kwenye makazi yao halali huko Jerusaleem na kuwatupa wapi sijui? Walitaka nyumb/makazi ya Waarabu wahamishiwe walowezi wa Kiyahudi - akili gani hizi??
Acha kupotosha na wewe wote hapa tuna jua kuwa walikuwa hawa wataki wa islaeli hapo pia arab pia ndo walianzisha vita juu ya islaeli.mkuu umepotosha hapo
 
S

Sio unafiki I see! Huwezi ingilia vita usiyoweza kushinda😜!
 
Jamani hapa mi kuna kitu sikielewi, naomba kueleweshwa kwa wanaojua.

Ni hivi, hao waisrael na wapalestina wanaishi nchi moja chini ya serikali moja ama?? Na kama ni ndio wanachogombea kwa sasa ni nini, madaraka au ni nini??

Kuna uzi fulani jamaa katuma ramani ya hizo nchi nimeona kama palestina imemezwa na israel yani ipo ndani ya israel sasa kwenye utwala iko vipi hapo, kila nchi na mamlaka yake ama nchi moja wamegana vijisehemu tu??
 
Acha kupotosha na wewe wote hapa tuna jua kuwa walikuwa hawa wataki wa islaeli hapo pia arab pia ndo walianzisha vita juu ya islaeli.mkuu umepotosha hapo
How many times must I repeat myself? Nimesema someni historia ya kweli kuhusu Taifa la Kipalestina kabla ya mwaka 1948 na nini kilikuja kutokea baada ya Umoja wa Mataifa ku-annex sehemu ya eneo la Palestina na kuundwa Taifa la Israel - narudia kukushauri husiwe biased maintain your cool.
 
Bongo hua tunaburuzwa na maDC na maRC na hakuna anayesema I stand with...

Leo wewe uko humu kujifanya I stand with..
 
Acheni propaganda zenu zisizo kuwa na kichwa wala miguu, jifunzeni historia ya kweli kuhusu mashariki ya kati specifically Eneo lililokuwa linajulikana kama Palestina chini ya ukoloni wa Uingereza.

Sasa kwa taarifa yako hakuna Taifa lililo kuwa linajulikana kwa jina la Israel kabla ya mwaka 1949 likumbuke sana hilo - Israel ilizaliwa baada ya Umoja wa Mataifa ku-annex eneo dogo la nchi ya Palestina na kuwapatia Wayahudi waliikuwa wamezagaa Dunia nzima, si wote walio kubali kuja Israel kuishi. Sasa nini kilitokea baada ya Wayahudi kupewa nchi, walianzisha udhalimu na ukatiri wao wa asili wa kuwaua Waarabu, kuwahamisha kinguvu Waarabu kutoka kwenye maeneo yao ya asili - waarabu wakawa wakimbizi kwa kuhama nchini mwao kwenda kuishi uhamishoni (kambi ya wakimbikizi) - Wayahudi wakaendeleza ubabe wao wa kujenga makazi kwenye maeneo ya Waarabu na kujipanua as if waarabu do not matter!!! Wanafanya ushenzi huu wa kikaburu huku wakikingiwa kifua na Serikali ya Kimerikani miaka nenda rudi.

Chukulia mgogoro/vita inayo endelea hivi sasa baina ya Hamasi na Wayahudi - nani ka-instigate vita hii kama siyo Wayahudi wenyewe na ujeuri wao - walitaka kuwahamisha waarabu kutoka kwenye makazi yao halali huko Jerusaleem na kuwatupa wapi sijui? Walitaka nyumb/makazi ya Waarabu wahamishiwe walowezi wa Kiyahudi - akili gani hizi??
Je, kabla ya hao wayahudi kusambaa duniani awali walikuwa wanaishi wapi? Asili ya wayahudi ni wapi? Babu zao waliishi wapi?

Hiyo 1948 kwa nini wayahudi walikataa maeneo mengine mazuri yenye mazingira mazuri kama Uganda, lakini wakasisitiza wapewa hapo walipo leo?
 
How many times must I repeat myself? Nimesema someni historia ya kweli kuhusu Taifa la Kipalestina kabla ya mwaka 1948 na nini kilikuja kutokea baada ya Umoja wa Mataifa ku-annex sehemu ya eneo la Palestina na kuundwa Taifa la Israel - narudia kukushauri husiwe biased maintain your cool.

Udini Tu unaowafanya watu weusi kujitoa faham na Ku support ukaburu..

Mtu mkristo anaona akisema niko na Israel basi ndo kawa mkristo zaidi
Nyerere alikuwa nusu awe Padri Kwa ukristo wake lakini kwenye haki alisimama na wapalestina...
Hata urafiki na Israel hakutaka..
Hata ubalozi wa Israel alikataa..
 
Acheni propaganda zenu zisizo kuwa na kichwa wala miguu, jifunzeni historia ya kweli kuhusu mashariki ya kati specifically Eneo lililokuwa linajulikana kama Palestina chini ya ukoloni wa Uingereza.

Sasa kwa taarifa yako hakuna Taifa lililo kuwa linajulikana kwa jina la Israel kabla ya mwaka 1949 likumbuke sana hilo - Israel ilizaliwa baada ya Umoja wa Mataifa ku-annex eneo dogo la nchi ya Palestina na kuwapatia Wayahudi waliikuwa wamezagaa Dunia nzima, si wote walio kubali kuja Israel kuishi. Sasa nini kilitokea baada ya Wayahudi kupewa nchi, walianzisha udhalimu na ukatiri wao wa asili wa kuwaua Waarabu, kuwahamisha kinguvu Waarabu kutoka kwenye maeneo yao ya asili - waarabu wakawa wakimbizi kwa kuhama nchini mwao kwenda kuishi uhamishoni (kambi ya wakimbikizi) - Wayahudi wakaendeleza ubabe wao wa kujenga makazi kwenye maeneo ya Waarabu na kujipanua as if waarabu do not matter!!! Wanafanya ushenzi huu wa kikaburu huku wakikingiwa kifua na Serikali ya Kimerikani miaka nenda rudi.

Chukulia mgogoro/vita inayo endelea hivi sasa baina ya Hamasi na Wayahudi - nani ka-instigate vita hii kama siyo Wayahudi wenyewe na ujeuri wao - walitaka kuwahamisha waarabu kutoka kwenye makazi yao halali huko Jerusaleem na kuwatupa wapi sijui? Walitaka nyumb/makazi ya Waarabu wahamishiwe walowezi wa Kiyahudi - akili gani hizi??
 
Wapalestina wa bongo mpo vzr kwny kupindisha ukweli , taifa liliundwa 1948 baada ya hapo waarabu wakaungana kuishambulia israel kwa kustukiza ila walishindwa na kupelekea kupoteza eneo na si waisrael waliamua kuwapola kimabavu bila sababu , kingine ni kuwa hao wapalestina hawataki kuishi na waisrael ila waisrael wapo tayari kuishi nao na ndio maana kila kipigo wanachopewa kinatokana na fujo zao zisizo na mbele wala nyuma hlf anatokea nyumbu mmoja huku afrika anasema wanaonewa , hv ww mtu akikushambulia kwako utakaa kimya?
 
Back
Top Bottom