Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,907
- 6,700
.
Swali la kichokozi, je amewezaje kumudu vitu vya gharama akiwa na ubongo sifuri??Thamani ya ubongo wake ni Sifuri ila amevaa mavazi yenye Gharama na kumiliki vitu vya Gharama
Tajiri ambaye hajaenda shule ...
Kanunuliwa na mzazi wakeSwali la kichokozi, je amewezaje kumudu vitu vya gharama akiwa na ubongo sifuri??
Utafiti huu ulifanyia wapi??Anatuwakilisha asilimia 90 ya watu tulivyo Ni jamaa yetu
Atakuwa kajifanyia yeye mwenyeweUtafiti huu ulifanyia wapi??
Anahongwa watu km hawa wapo sana mijiniSwali la kichokozi, je amewezaje kumudu vitu vya gharama akiwa na ubongo sifuri??
Anahongwa watu km hawa wapo sana mijini
CCM wakati wa kampeni hutumia msululu wa magari yenye thamani kubwa, mavazi na vinywaji vyote vikiwa na gharama kubwa lakini hawana lengo lolote la maendeleo ya nchi.
Kafanyajee???Diamond platnamz