Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,357
Kati kati ya kimara mwisho stendi ya mwendo kasi (UDART) na Kimara korogwe mkuu.
Du mpaka mama mpunga! umeniacha hoooi.Kimara resort upande wa kushoto kama unatoka kimara mwisho/ kwa mama mpunga au karibu na kwa marehemu mzee mongi.
Sio Jamatini hiyo mkuuJamatini dodoma
Dah... bila shaka unatania tu Mkuu, Mbeya kuna mwendokasi?